Hello bosses kwanza kabisa naomba mods msiedit heading ya huu uzi.
Kumekuwa na wimbi la watu kutoheshimu professions za wengine na hili linabackfire mdg mdg.
Watu wengi siku hz wanadhan kila mtu...
Husika na kichwa cha habari,, naombeni mnipe mawili matatu juu ya simu tajwa kabla sijazama dukani,, naipenda kwa sababu ya umbo lake sio kubwa,, Asanteni sana
Habari wadau wa tech. Usb yangu ya chaja orijino ya samsung imeharibika. Nikichaji cm inachukua muda mrefu sana kujaa. Jana nimejaribu kutumia usb nyingine cm imejaa hataka sana. Naombeni kujuzwa...
kuna njia nyingi ambazo zinaweza tumika kuipata simu yako iliyoibiwa, lakini hapa ntaorodhesha chache na nitaelezea moja ya uhakika ambayo ndio hutumiwa na polisi kuweza kupata simu iliyoibiwa...
Kama kichwa cha habari kinavyosema hebu tutoe maoni kwanini vijana wa sayansi especially ICT wanahangaika sana wakati Kwa elimu yao wangekuwa na uwezo wa kubuni apps ambazo zingewakwamua kiuchumi...
Wakubwa nilikuwa naomba kujuzwa kwa mtu aliesomea Bachelor of science In Information System GPA inasoma 3.0 na anaujuzi wa data analytics.
Anauwezekano wa kupata Ajira in goverment or private...
Sauti ya mtangazaji wa game PS zinawekwaje? Maana kile mchezaji anachokifanya ndio mtangazaji anatangaza.
Kwa mfano hapa nilipo kuna madogo wanacheza game ni kati ya ManCity na Barcelona. Yaani...
Habari za wakati wapendwa wa jf tv yangu tangu asubuhi inaniandikia "VOLTAGE IS LOW TV WILL TURN OFF sijajua tatizo ni nini ni zaidi ya massage 12 sasa
Habarini za wakati huu wakuu
Niliona sehemu mtandaoni wanauna kadubwasha kanaitwa "HDTV Antenna" kana uwezo wa kupata idadi kubwa cha tv channels kwa kukaweka katika muelekeo fulani kama...
Edit: Nimshukuru thesym kwa kuweza kushare nasi link muhimu yenye vitabu kibao, nimeweza kupata vitabu nilivyohitaji nawe waweza kujaribu.
link ya vitabu
Je, wakala wa mitandao ya simu inawezakana kulipia bill ya Maji DAWASCO ama Kulipia DStv kwa kutumia M-pesa, Tigo pesa, Airtel Money, au Halopesa.
Na je pia unaweza kununua umeme kwa kupitia...
Watalaam wa htc one, nimekuja tena. Safari hii naomba niweke data/information ili ziwasaidie katika kuamua kama hii simu yangu ni LOCKED, TATIZO LINGINE LA SOFTWARE AU NI TATIZO LA HARDWARE...
Mabando haya ghali yaliniumiza sana hasa nikiwa mtu mwenye kipato cha kawaida, Vuta picha tu kwamba MB 900 hazijafika hata GB ni elf 2 halafu umetumia nusu saa tu unapokea sms "umetumia asilimia...
Wakuu zangu huwa nataka kufanya Huduma Mbalimbali katika mtandao lakini huwa na kwama hapa...
Pia Napata shaka labda hata kuibiwa kimtandao...Wakuu naombeni Msaada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.