Fahamu kwanini iphone inabaki kuwa bora kuliko simu za android

brownboy

Senior Member
Jun 10, 2023
100
267
1. Security, iohone Ina security kubwa mno kiasi mtu akiiba itamchukua mda na gharama kuondoa security kwenye iphone. Tofauti na simu za android ambapo Kuna applications kibao kwa ajili ya kutoa password na lock tena cheaply.

2. Data protection. Kila kitu kwenye iphone kiko well secured kwenye icloud (picha, music, videos, files etc. Kiasi ukiibiwa simu unaweza kutumia iphone ya mtu mwingine kuretrieve data zako. Zikarudi zote kama awali. Tofauti na android ambapo ukipoteza simu ndio nitolee hiyo.

Kingine si rahisi kushare data zako na watu wengine ukiwa na iphone. Tofauti na android ambapo unaweza kurusha kupitia Bluetooth, kwenye computer, mitandaoni etc bila restrictions za aina yeyote hivyo kuifanya iphone kuwa imara zaidi na zaidi.

Depreciation value. Iphone inakaa mda mrefu bila kupoteza value tofauti na android. Example iphone ya miaka m3 nyuma bei yake ni kubwa sana kuliko bei ya simu yoyote ya android ya miaka m3. Nyuma. Android zinawahi sana kushuka thamani kuliko iphone.

Photo and video quality ya iphone ni bora sana kuliko simu yeyote ya android kitu kinachoongezea points iphone na kuonekana ni simu bora sana kwani sababu kubwa ya watu kumiliki smartphone ni hiyo.(multimedia)

Simplicity. Iphone ni rahisi kuitumia. Ukitoa lock screen tu unaenda direct kwenye home screen unaanza kutumia simu yako. Action button iko pembeni kuta touch assistant na features nyingine kibao zinazoongeza Simplicity kwenye simu.
 
Wanaotumia iphone wanajikuta wao ndio freemason kumbe hakuna kitu ni vile tu kampuni ya iphone imeweza kuwateka wateja wake kisaikolojia kwa kuwaproud kuwa wao ni special.

Hata ukitaka mvuta mtoto wakike msifie ajione yeye ni special chap tu unampeleka ghetto 😂

Android unaweza kusave vitu vyako google drive na ukavipata vyote kikubwa usisahau email yako na password ya email.

Kuhusu kushuka bei kwa simu zilizopita sokoni si hoja yenye nguvu,na nakushangaa maana huku mtaani watu wanazibeba hadi kwa laki na hamsini nakuendelea!

Android ni nyepesi na ipo huru isiyo na mfumo wakunyanyasanyanyasa wateja wake,takribani apps zote unaweza kuzipata kwenye mfumo wa android,huko iphone mpo kwenye gereza na kifungo kisichofunguka!.

Kuhusu hacking usije ukajidanganya wewe member ulielewa hilo tunda la apple,ukafikiri hiyo IOS upo salama labda kama wewe sio mfatiliaji tu ila wapo hackers wazuri wanaoweza ku hack mifumo ya iOS so usijitie ushankupe.

Piga uwa galagaza iphone haimfikii google pixel kwenye quality ya picha!

Umekaa kizembe sana babu..😅
 
Wanaotumia iphone wanajikuta wao ndio freemason kumbe hakuna kitu ni vile tu kampuni ya iphone imeweza kuwateka wateja wake kisaikolojia kwa kuwaproud kuwa wao ni special!!.
Hata ukitaka mvuta mtoto wakike msifie ajione yeye ni special chap tu unampeleka ghetto..

Android unaweza kusave vitu vyako google drive na ukavipata vyote kikubwa usisahau email yako na password ya email..
Kuhusu kushuka bei kwa simu zilizopita sokoni si hoja yenye nguvu,na nakushangaa maana huku mtaani watu wanazibeba hadi kwa laki na hamsini nakuendelea!..
Android ni nyepesi na ipo huru isiyo na mfumo wakunyanyasanyanyasa wateja wake,takribani apps zote unaweza kuzipata kwenye mfumo wa android,huko iphone mpo kwenye gereza na kifungo kisichofunguka!.

Kuhusu hacking usije ukajidanganya wewe member ulielewa hilo tunda la apple,ukafikiri hiyo IOS upo salama labda kama wewe sio mfatiliaji tu ila wapo hackers wazuri wanaoweza ku hack mifumo ya iOS so usijitie ushankupe..

Piga uwa galagaza iphone haimfikii google pixel kwenye quality ya picha!.

Umekaa kizembe sana babu..
Iphone Kwa pixel Ajipange vizuri sana

Itoshe kusema pixel ni mfalme wa photography

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Security, iohone Ina security kubwa mno kiasi mtu akiiba itamchukua mda na gharama kuondoa security kwenye iphone. Tofauti na simu za android ambapo Kuna applications kibao kwa ajili ya kutoa password na lock tena cheaply.

2.Data protection. Kila kitu kwenye iphone kiko well secured kwenye icloud(picha, music,videos, files etc. Kiasi ukiibiwa simu unaweza kutumia iphone ya mtu mwingine kuretrieve data zako. Zikarudi zote kama awali. Tofauti na android ambapo ukipoteza simu ndio nitolee hiyo.
Kingine si rahisi kushare data zako na watu wengine ukiwa na iphone. Tofauti na android ambapo unaweza kurusha kupitia Bluetooth, kwenye computer,mitandaoni etc bila restrictions za aina yeyote hivyo kuifanya iphone kuwa imara zaidi na zaidi.

Depreciation value. Iphone inakaa mda mrefu bila kupoteza value tofauti na android. Example iphone ya miaka m3 nyuma bei yake ni kubwa sana kuliko bei ya simu yoyote ya android ya miaka m3. Nyuma. Android zinawahi sana kushuka thamani kuliko iphone.

Photo and video quality ya iphone ni bora sana kuliko simu yeyote ya android kitu kinachoongezea points iphone na kuonekana ni simu bora sana kwani sababu kubwa ya watu kumiliki smartphone ni hiyo.(multimedia)

Simplicity. Iphone ni rahisi kuitumia. Ukitoa lock screen tu unaenda direct kwenye home screen unaanza kutumia simu yako. Action button iko pembeni kuta touch assistant na features nyingine kibao zinazoongeza Simplicity kwenye simu.
iPhone iheshimiwe😍
 
Android ni OS...

iOS ni OS...

Baada ya hapo sasa ndo tupambanishe simu na simu...

Mfano ukichukua Iphone 15 Pro Max VS Samsung S23 Ultra utakuta zimezidiana vitu vichache sana... Ila overall utakuta zimezidiana kwa point 2 mpaka 3...

Hivyo ukiona katika dunia ya sasa kuna umbwa inajitapa eti Iphone ni bora kushinda Simu zinazotumia android basi hiyo ni umbwa koko, haijui yanayoendelea duniani...
 
1.Security, iohone Ina security kubwa mno kiasi mtu akiiba itamchukua mda na gharama kuondoa security kwenye iphone. Tofauti na simu za android ambapo Kuna applications kibao kwa ajili ya kutoa password na lock tena cheaply.
Itamchukuwa muda na gharama kuondoa security? Hivi Iphone unadhani unaweza kuondoa passcode? Ukiokota au kuiba iphone yenye passcode na find my iphone iko ''on'' hutaweza kuifungua!
 
Tatizo la iPhone zimekaa kikike sana, Yaani visimu fulani ambavyo ukiwa navyo kila mtu ana uwezo kukujua ulivyo undani wako, Asilimia kubwa ya iPhone users wa hapa bongo ni watu ambao wana tamaa tamaa fulani za vitu vizuri vizuri ndo maana nikasema ni devices ambazo zimekaa kikike kwa sababu jinsia ya kike ndo watu wenye tabia za kupenda kupata vitu vizuri kwa njia nyepesi,

Kingine inamuelezea mtu kwamba anapenda attention ambayo pia ni tabia ya kike, Kupenda attention akiwa au akipita mahali... Kiufupi haina tofauti na unakuta pisi kali imevaa vizuri... imependeza kwelikweli na ukiiangalia huwezi kuamini kwamba ina Ghono, Ndo kama alivyo mwenye iphone, Unakuta mtu ana simu ya thamani ya 3m ila huwezi kujua kama hana hela ya kula.

Kingine wanakuwa watu wa kupenda mashindano, yaani akiwa na iphone 7 maybe akimuona mwenzake ana 11 automatic tuu unamuona anatamani yeye ndo angekuwa na hiyo 11

Hilo suala nalisema kutokana na experience yangu na wahusika ninaokutana nao ila ni simu nzuri sema tu zinapendwa na kumilikiwa zaidi na wasio sahihi
 
Tatizo la iPhone zimekaa kikike sana, Yaani visimu fulani ambavyo ukiwa navyo kila mtu ana uwezo kukujua ulivyo undani wako, Asilimia kubwa ya iPhone users wa hapa bongo ni watu ambao wana tamaa tamaa fulani za vitu vizuri vizuri ndo maana nikasema ni devices ambazo zimekaa kikike kwa sababu jinsia ya kike ndo watu wenye tabia za kupenda kupata vitu vizuri kwa njia nyepesi,

Kingine inamuelezea mtu kwamba anapenda attention ambayo pia ni tabia ya kike, Kupenda attention akiwa au akipita mahali... Kiufupi haina tofauti na unakuta pisi kali imevaa vizuri... imependeza kwelikweli na ukiiangalia huwezi kuamini kwamba ina Ghono, Ndo kama alivyo mwenye iphone, Unakuta mtu ana simu ya thamani ya 3m ila huwezi kujua kama hana hela ya kula.

Hilo suala nalisema kutokana na experience yangu na wahusika ninaokutana nao
Nimecheka🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom