Godfrey phares
Member
- Apr 15, 2015
- 16
- 3
Naitajia maelezo nielewe umihimu wa ku update Android software na Hasara usipo update android
Sawamuulize chief_mkwawa.
Faida ni kupata features mpya kama zitakuepo...Naitajia maelezo nielewe umihimu wa ku update Android software na Hasara usipo update android
kuna updates za aina mbili kwenye simu
-security updates
-updates za matoleo toka version moja kwenda nyengine.
hizi security updates ni muhimu sana zinatoka kila mwezi, zenyewe hazibadili muonekano au feature za os, kazi yake ni kukupa ulinzi kwenye simu na kukulinda na malware na threats mpya.
updates za matoleo, mfano kutoka android 8 kwenda 8.1. hizi hukuongezea features kwenye simu na kubadili muonekano. kama alivyoelezea mdau hapo juu.
umuhimu wa ku update ni kuwa na simu salama ambayo ni ngumu kushambuliwa, yenye mambo ya kisasa na mapya. kila toleo kunakuwa na kitu kinaitwa change log, hukuonesha ni mambo mangapi mapya yameongezwa.
hasara ya ku update ni kama alivyosema mdau mwengine hapo juu inaweza haribu mambo fulani, mfano unaweza update simu isikae na chaji kama zamani,
kama simu yako ni halali kabisa umeinunua na ina warranty usiogope update simu yako mara kwa mara, likitokea tatizo samsung wenyewe watawajibika kulitengeneza.
Nashukuru kwa ushauri
Nashukuru kwa ushauri ndug yangukuna updates za aina mbili kwenye simu
-security updates
-updates za matoleo toka version moja kwenda nyengine.
hizi security updates ni muhimu sana zinatoka kila mwezi, zenyewe hazibadili muonekano au feature za os, kazi yake ni kukupa ulinzi kwenye simu na kukulinda na malware na threats mpya.
updates za matoleo, mfano kutoka android 8 kwenda 8.1. hizi hukuongezea features kwenye simu na kubadili muonekano. kama alivyoelezea mdau hapo juu.
umuhimu wa ku update ni kuwa na simu salama ambayo ni ngumu kushambuliwa, yenye mambo ya kisasa na mapya. kila toleo kunakuwa na kitu kinaitwa change log, hukuonesha ni mambo mangapi mapya yameongezwa.
hasara ya ku update ni kama alivyosema mdau mwengine hapo juu inaweza haribu mambo fulani, mfano unaweza update simu isikae na chaji kama zamani,
kama simu yako ni halali kabisa umeinunua na ina warranty usiogope update simu yako mara kwa mara, likitokea tatizo samsung wenyewe watawajibika kulitengeneza.
Natumia Samsung note 4 Model N910H ila kuna mda inaaandika No sim card restart the nikishafaya ivyo inakaa sawa ili tatizo chanzo chake ni nini?kuna updates za aina mbili kwenye simu
-security updates
-updates za matoleo toka version moja kwenda nyengine.
hizi security updates ni muhimu sana zinatoka kila mwezi, zenyewe hazibadili muonekano au feature za os, kazi yake ni kukupa ulinzi kwenye simu na kukulinda na malware na threats mpya.
updates za matoleo, mfano kutoka android 8 kwenda 8.1. hizi hukuongezea features kwenye simu na kubadili muonekano. kama alivyoelezea mdau hapo juu.
umuhimu wa ku update ni kuwa na simu salama ambayo ni ngumu kushambuliwa, yenye mambo ya kisasa na mapya. kila toleo kunakuwa na kitu kinaitwa change log, hukuonesha ni mambo mangapi mapya yameongezwa.
hasara ya ku update ni kama alivyosema mdau mwengine hapo juu inaweza haribu mambo fulani, mfano unaweza update simu isikae na chaji kama zamani,
kama simu yako ni halali kabisa umeinunua na ina warranty usiogope update simu yako mara kwa mara, likitokea tatizo samsung wenyewe watawajibika kulitengeneza.
Ku root na ku update mbona ni vitu viwili tofauti,So kimoja hakiwezi kuwa mbadala wa mwenzake.Mimi badala ya kuupdate ninaroot maana simu zingine update zinachelewa
Kama utafanya update kwa custom rom basi lazima u root kwanzaKu root na ku update mbona ni vitu viwili tofauti,So kimoja hakiwezi kuwa mbadala wa mwenzake.
Angesema hivyo sasa,hilo nalielewa.Kama utafanya update kwa custom rom basi lazima u root kwanza
labda pale pa kuchomekea line pamelegea. line inakaza vizuri?Natumia Samsung note 4 Model N910H ila kuna mda inaaandika No sim card restart the nikishafaya ivyo inakaa sawa ili tatizo chanzo chake ni nini?
Mkuu, hivi kuna uwezekano wa ku update note 4 inayotumia android 6.0.1 marshmallow kwenda nougat?kuna updates za aina mbili kwenye simu
-security updates
-updates za matoleo toka version moja kwenda nyengine...
kwa custom rom inawezekana,Mkuu, hivi kuna uwezekano wa ku update note 4 inayotumia android 6.0.1 marshmallow kwenda nougat?
Ishu inakuja kwenye kuiroot hii device ambayo ni ya verizon. Nimejaribu kwa kila namna inashindakana, hapa nakwambia nimetoka kujaribu kwa kutumia Odin nayo inafail. Msaada mkuukwa custom rom inawezekana,