Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wameanza kwa mbwembwe kama hivyo na ndugu zetu upinde wamepata kipaumbele namna hiyo Website ya AppleBETA iko busy naona soon wale wa dev beta mzigo utakua hewani IOS 18 IOS 18 is out now
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwenye hii nakala nitakuonesha kwa ukamilifu kabisa jinsi ninavyoweza kutengeneza websites zenye mvuto (kama hiyo apo chini) bila ujuzi wowote wa lugha za kompuyta (programming languages) na pia...
15 Reactions
52 Replies
11K Views
Kuwepo Kwa jambo kubwa ambalo ni zuri , ambalo unalimiliki wewe unakuwa na furaha sana na ikiwa jambo hilo anamiliki mtu mwingine basi wewe muda mwingine unakuwa na mawazo labda yule mwenye nalo...
3 Reactions
0 Replies
329 Views
Nimenunua simu aina ya oppo A37f kwa wachina wa Kikuu. Tatizo kila nikijaribu kuwasha data naona hairespond kabsa japokuwa inaonesha kwenye bar 3G. Je tatizo linaweza kuwa ni simu au settings tu...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kampuni kutoka China Tecno, wanazidi kuwafurahisha na kuwashangaza Walimwengu kwa kuzindua generation ya pili ya foldable smartphones, kwa kuja na Flip na Fold, zote zikiwa na Ella AI ambayo iko...
18 Reactions
73 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu, Nimekuja kwenye hili jukwaa lengo ni kupata ushauri kutoka kwa wataalamu na watu wenye uzoefu na hizi simu za Google pixel. Nimejichanga nimepata hela kidogo, nataka ninunue...
11 Reactions
72 Replies
12K Views
WhatsApp sijui wana shida gani na mimi? Mwanzo nilikuwa natumia Iphone, shemeji/wifi yenu akaninyang'anya akanipa simu yake aliyokuwa anatumia, simu yake aliyonipa nitumie ni aina ya Oppo...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa nini Hawa watu tusiwaekee forum Yao na kiuwezeshi kidogo ili waweze kuibua mambo mapya katika computer technology.
6 Reactions
8 Replies
561 Views
Wanaanga wawili wa kimarekani kutokea shirika la anga la NASA wameshindwa kurudi nyumbani kwa wakati kutokana na chombo walichotumia kufika huko cha Starliner kilichotengenezwa na kampuni ya...
4 Reactions
122 Replies
7K Views
Swali langu ni hilo tu, sina mengi. Awali ya yote natoa shukurani kwa watakaochangia.
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujuzwa namna Bora ama mbinu wezeshi Kwa ajili ya kuipata Move katika Telegram App. Maana Telegram ni mtandao mpana.So hata ikibidi tupeane ma ujuzi. Na wasilisha Kwa hatua.
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Tumeona jana tarehe 09 Apple wamefanya yao kwa kutuletea iPhone 16 series. Same wine, new bottle! Sasa bwana leo wakali wa hizi mambo Huawei wamefanya yao kwa kuzindua Huawei Mate XT Ultimate...
30 Reactions
60 Replies
3K Views
Wakuu namba yangu kuna kipindi niliitumia muda mrefu sana kwenye gb WhatsApp, ila zilivyoanza zile ban niliachana nayo nikadownload official whatsapp. Sasa changamoto niliyonayo, namba kwenye...
3 Reactions
8 Replies
647 Views
Kichwa Cha habari hapo wakuu kinajieleza nataka Kujua Hawa wakina Mpemba og, side kama side Huwa wanatumia software gani kuingiza maneno Yao ?!? Nawasilisha swali na kama hujui kama Mimi Kaa kimya .
2 Reactions
5 Replies
582 Views
Mimi ni mpenzi mkubwa Sana wa simu za android na simu yangu pendwa ni Samsung lakini huku tunakoelekea naona kabisa nitaisaliti chama.Sababu ni kuwa Samsung wanaiga vitu vingi Sana ambavyo havina...
27 Reactions
219 Replies
11K Views
This is completely unethical and illegal, firstly 1)Get kali linux 2)Get InstaBrute, an instagram bruteforce tool 3)Hack into his/her account InstaBrute is a Instagram bruteforce exploit...
1 Reactions
153 Replies
16K Views
Sikujua ni leo baada ya kupitia kwenye steampowered ndio nimezikuta. days gone ambayo niliitamani sana kuicheza inapatikana kwa bei punguzo kutoka usd 49 hadi kwa usd 24 tu kwasasa. Zingine ni god...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimekuwa Nikipata tatizo naweka bando ndani ya muda Mchache naambiwa nimefika asilimia 70 ya kiwango Cha matumizi. Nikaanza kupunguza matumizi ya YouTube na App zingine za video ila Cha ajabu...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
What is your montly data usage? Hii ni kwa PC, kwa simu naona ni 15.6 GB. Matumizi yako ya data ni kiasi gani kwa mwezi na huwa unatumia zaidi data kwa shughuli gani?
6 Reactions
5 Replies
490 Views
Unakumbuka zile filamu tulizokuwa tunaangalia ambapo watu wanaishi na robot kama sehemu ya familia zao? Well, polepole hali hiyo inakaribia kuwa ukweli. Teknolojia inakimbia kwa kasi ya ajabu, na...
3 Reactions
7 Replies
768 Views
Back
Top Bottom