Nini Maana ya AI (Akili Mnemba)

jikuTech

Member
Apr 9, 2023
42
19
Nini maana ya AI?

Ni akili ya mashine au program kinyume na akili ya binadamu au wanyama. Kukua kwa sayansi na technology kimewezesha uvumbuzi wa vitu vingi sana.

Fikiria mtu anavyo zaliwa maana yake ana empty mind yaani akili yake inanakuwa haina hata kumbukumbu moja wala uzoefu wowote ule wa kufanya jambo lolote lile lakini kadri amtu huyu anavyo kuwa anakuwa ubongo wake unakuwa unajifunza mambo mbalimbali ambayo ni msingi wa utambuzi wa mambo mengine.

AI kwa kiingereza ni Artificial intelligence.

Mtu yeyote anaweza tengeneza machine ambayo ina fanya utambuzi wa mambo flani kwa kadri atakavyo taka yeye.

Mtu huyu atakuwa na kazi ya kutengeneza machine baada ya hapo atakuwa na kazi ya kuifundisha michakato ya kukamilisha majukumu anayo itaka ifanye.

Machine ikisha fundishwa basi inabaki inasubuli amri tu kwamba fanya hivi. Nina imani umewahi kuskia habari ya robot. Robot wapo wa aina kama mbili kwa jinsi ninavyo elezea maana yangu hapa.

Robots wa aina ya kwanza ni wale wanao shikika na wale wasio shikika. Mfano wa robot anaye shikika ni kama printer na wale unao waona kwenye movie kwamba huyo roboti kazi yake ni kuchukulia mgeni maji ya kunywa pindi anapo amrishwa kufanya hiyo kazi.

Robot wa aina ya pili ni robot ambaye haishikiki robot hawa ni wengi sana kwenye ulimwengu huu wa leo kiasi kwa asilimia mia moja unao hapo ulipo.

Mfano wa robot hawa wasio shikika ni kama App ya kumpigia mtu simu yeye anatekeleza amri na mambo yote yanayohusiana na kupiga na kupokea simu.

Tulikuwa tunajifunza kuhusian na AI. Ambayo kiufupi ni akili bandia inayo tengenezwa na kuwekwa kwenye machine kwa ajili ya jukumu au majukumu flani kulingana na matakwa ya mtengenezaji wa program hiyo.

Utendaji kazi wa AI
Huwa ni kupokea amri kutoka kwa m tumiaji na kuichakata kwa namna ya maelekezo ambayo ndio akili aliyo wekewa.

Nani anatengeneza akili bandia. Mtengenezaji wa akili bandia ni yule mtu alie jifunza software engineering kwa undani sana.
 
NI AKILI HALAFU NI BANDIA TENA.... OKAY SAFI
 
SIKU HIZI SI WANAITA AKILI MNEMBA?
 
Back
Top Bottom