Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Baada ya kutumia Flutter kwa takribani miezi 6. Nimeamua kuachana nayo rasmi na kufanya Native Mobile App Development. Hii ni kutokana na kutoridhishwa na performance ya Apps zinazotengenezwa kwa...
7 Reactions
68 Replies
4K Views
Habari wadau. Naombeni mwenye anajua namna kuirudisha account ya Twitter ifanye kazi anisaidie wadau. Account yangu imefungwa ina wiki moja na siku kadhaa sasa. Imekuwa- suspended, nimefwata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wataalamu Nina PC ya HP mara nilipoogeza tu disk zingine zikawa tatu ikawa kila nikiwasha inaniletea maelezo na maelekezo huku ikitaja na majina ya disk na nafasi zilizomo humo Sasa...
5 Reactions
7 Replies
629 Views
Habari, Kama inavyofahamika baadhi yetu hatujaweza kumudu gharama za kununua fridge mpya, na mahitaji ya chombo hiko tunayo hivyo tunalazimika kupitia maeneo ambayo tunaweza tukapata kwa bei...
6 Reactions
111 Replies
37K Views
Nina sumsung smart TV ila nikitaka kuangalia movie kutoka kwa flash inasema unsupported msaada wenu wajuzi nifanye nini ili niweze kuona video kutoka kwenye flash kupitia USB port? Nyimbo za audio...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Kwa wale wanaotumia simu za google pixel na mtandao wa voda kuna mtu simu yake inashika VoLTE? maana mimi natumia pixel 6 pro ina hiyo feature lakini sioni option ya kuiwasha. Au ni shida kwa...
1 Reactions
3 Replies
541 Views
Habari wana JF PC yangu imekua na shida ya mstari kwenye screen na doa Jessica kwa chini. Hili tatizo nalitatua vipi wadau?
2 Reactions
4 Replies
476 Views
Kuna hizi wireless bulb, naona ziko portable na unaeeza kuangalia popote, 1. Je cloud/live stream inalipiwa au ni free lifetime? 2. Ubora wake ukoje? Kama nina camera tatu, zote naweza kuzi...
4 Reactions
1 Replies
410 Views
Wakuu mambo vipi? Naomba msaada kama kuna mtu yoyote ana tv ya hisense ambayo ni vidaa Na anaweza kuangalia Azam Kwa kutumia website au app anipe maujanja Me nimejaribu but I can't login kwenye...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba msaada juzi laini yangu ya airtel ilipoteza internet ilivyorudi ikawa haidowload especially video za whatsapp. Natumia samsung tablet 2 7.0
0 Reactions
22 Replies
23K Views
0 Reactions
1 Replies
217 Views
Wakuu wangu naomba kushauriwa kwa uwezo na mifano kati ya simu hizi mbili za Google.. Pixel 4 na Pixel 5 aina zote.Niko Dilema kuchagua kati ya hizo mbili... Lakini si haba nikijuzwa na Pxl 6...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wakuu! Nimefungua channel youtube lakini iko limited kupost video zenye urefu zaidi ya dakika 15 kwa sababu bado sija verify. nimejaribu kuverify lakini kila muda ina...
0 Reactions
4 Replies
817 Views
Ripoti hii inawasilisha takwimu za mawasiliano za robo ya nne ya mwaka wa fedha 2023/2024. Kwa ujumla, ripoti inatoa takwimu za mawasiliano ya simu, pesa mtandao, Intaneti, utangazaji, posta na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu hivi stika za nenda kwa usalama barabarani zimetoka Mwaka 2024? Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hello bosses and roses, Kwa muda mrefu nmekua nafikiria namna ya kutumia tech kukuza na kuendeleza mwenendo wa maisha uliozoeleka hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla sababu Systems na Apps nyingi...
22 Reactions
59 Replies
5K Views
Nimeona thread's nyingi sana hapa JamiiForums kuhusu programmer's wa Tz wakikosolewa na kila mara jibu wanalolitoa ni kwamba wanalipwa pesa kidogo ndiyo maana wanafanya kazi mbovu. Kwangu mimi...
1 Reactions
10 Replies
640 Views
NDOTO ZA KUWA MTU FLANI KWENYE TEHAMA Kirefu Cha neno Hilo ni Teknolojia ya habari na mawasiliano, taaluma AMBAYO Hadi mwaka huu 2024 hazija waingia watu wengi na waliyo nayo wengi nchini...
4 Reactions
1 Replies
789 Views
Mods tafadhalini msiunge na nyuzi zingine, hili ni toleo la online version Hapo zamani tulizoea kucheza wawili kwa screen kugawanywa lakini kwa mapinduzi ya teknolojia tunaweza kushindana...
2 Reactions
5 Replies
558 Views
hivi vitu kidogo vimekuwa vinanichanganya katika operate yake tcp ina intaract vip na w.w.w.? na watu wanasema w.w.w. haiwez kufanya kazi bila http hii http ina uhusiana vipi na hapa...
4 Reactions
16 Replies
875 Views
Back
Top Bottom