Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mwenye idea ya jinsi ya kupromote tovuti ya bongo ifikie watu wengi at a medium budget?
3 Reactions
12 Replies
416 Views
? ! 😎🤔
2 Reactions
2 Replies
826 Views
Habari zenu wana tech, Narudi tena na tena kwa mara nyingine, lengo kuu likiwa ni kufahamishana kuelimishana na kuhamasishana kwenye nyanja hii muhimu ya Tech, Gadgets & Science Forum. Kama...
12 Reactions
72 Replies
7K Views
Wataalam naomba mnisaidie njia nzuri ya kublock SMS kutoka kwa namba nisiyotaka initumie SMS Njia hiyo iwe tofauti na ile ya kuinstall apps kutoka play store Asanteni
0 Reactions
22 Replies
11K Views
Google wametangaza maboresho ya kupunguza wizi na kulinda data pale simu inapoibiwa. Baadhi zitakuja na Android 15 na baadhi zitakuja kwenye Android kuanzia 10 kwa kupitia update ya Play...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello, Mimi ni mwanafunzi wa Shule ya sekondari Tambaza kidato cha tano katika mchepuo wa PMCs. Naitwa Baraka Range. Napenda kuwashirikisha wadau wote wa tasnia ya teknolojia katika wazo langu...
19 Reactions
70 Replies
3K Views
❤️ Thanks everyone for your support and love! Last month I got interviewed by police for 4 days after arriving in Paris. I was told I may be personally responsible for other people’s illegal use...
4 Reactions
4 Replies
3K Views
Toyota vx Toyota Land Cruiser ambapo imetokana na neno la kijapani Toyota Rando-kurūzā?) ni aina ya magari yanayo tumia mfumo wa 4WD atika utendaji kazi wake yakiwa na nguvu na kasi...
3 Reactions
26 Replies
12K Views
Ni kitu gani kimeungua hadi nyaya zimepukutika karibu na tank la gesi?
1 Reactions
1 Replies
410 Views
Subwoofer yangu naona inashida. Nikiwasha upande wa bluetooth inalia alafu inaacha kutoa sauti wakati bluetooth bado inaonekana imeunganishwa. Sijajua ni kwa sababu gani, mwenye ujuzi anisaidie...
3 Reactions
6 Replies
523 Views
pima speed yako >> minya hapa << Halotel internet speed test yangu nimepima nikiwa Iringa mjini, Je huko kwako ni ngapi ?
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Hello, I am a Form Five student at Tambaza High School, studying the PMCs combination (Physics, Mathematics, and Computer Science). My name is Baraka Range. I would like to share my idea with...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Utasikia mtu au watu wanasema "uchawi wa mzungu huo"- hapa wanamaana ya mashine au aina Fulani ya teknolojia!. Nianze taratibu kabla sijasema ninacho kuelewa. Niruhusu mjadala kwanza Kisha...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Wadau naomba ushauri kati ya simu hizi mbili zinazouzwa kwenye maduka ya tigo IPI ni nzuri Energizer u652 na ZTE a35 ninataka kuchukua mojawapo
2 Reactions
2 Replies
838 Views
Haya ni baadhi ya matukio yanaoendelea katika Tantech association ambapo mimi na wenzangu kushirikiana na shule yetu tuliweza kuomba msaada wa kupata mafunzo mbalimbali Kwenye chuo cha Agakhan...
4 Reactions
4 Replies
576 Views
Mwezi hii ya mbeleni nipo kwenye mpango wa kufungua movies store hapa Dar es Salaam. Napitia changamoto moja ni CPU gani na yenye sifa gani inayoweza kunifaa. kwakazi hiyo maana siitaji kununua...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Sina uhakika kama haya mambo wanafanya wakiwa wanajua uzito wa madhara wanayoweza au wamekua wakusababisha kwetu sisi wateja wao. Kwakweli leo hii nimehisi kukosa kabisa uvumilivu. Sijui hata...
5 Reactions
43 Replies
1K Views
Hallo naomba kupata mtaalam wa masuala ya Kufunga Gps kwenye magari 0766806904
0 Reactions
3 Replies
501 Views
Laptop yangu inakula bando balaa natumia window 10 yaani nikiweka afu tatu ndani ya nusu saa imekwisha wakati naingia JF tuu! Nimefunga window update lakini bado tatizo liko pale pale msaada please
3 Reactions
4 Replies
594 Views
Back
Top Bottom