Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu msaada hapo juu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana ukumbi, Si mbaya tukashare maarifa hapa Jamii zetu za enzi hizo zilitumia vitu kama Ngoma au Moshi kuwasiliana Mwanadamu anajaribu kuleta njia rahsi zaidi ya mawasiliano kati ya mtu...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Habari wakuu,nahitaji kujua na kufahamishwa juu ya blackberry z30.karibuni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nataka kupunguza madishi na ving'amuzi,je ipo teknolojia ya kutumia dish moja na king'amuzi kimoja?,yaani utumie kadi tofauti kama simu,unabadilisha kadi tu.Nipeni elimu wataalam.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau. Niende straight kwenye point. Niwaulize kama kuna mtu anajua Kampuni yoyote, Duka lolote, au Mtu binafsi yoyote ambaye anauza simu kwa kulipia kidogo kidogo, hasa kwa mwezi au...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa uzuri na udhaifu wa blackberry smartphones...na mahali zinauzwa hapa dar
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wadau wa JF simu yangu ya tecno imekatika ule mdomo wake ambao charger au usb cable huchomekwa. Dogo alilazimisha kuchaji kwa kutumia chaja ambayo sio sahihi. Kwa sasa kuchaji simu ni mpaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
For documentary purpose preferably canon mark iii zoom,boom mic and reflector at an affordable price, location DSM 0762273906
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii update niliyoipata inagoma kuinstall kwasababu smartphone yangu iko Rooted na ikishaandika update failed ina stuck kwenye bootloop ilinibidi nidownload official stock firmware ndio ikakubali...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Leo katika kujaribu kununua ile daily unlimited ya 1000 nimeshindwa kuipata katika menu, badala yake kuna 500Mb kwa 1000. Ngoja niingie mtaani nikatafute Halotel sasa.
2 Reactions
39 Replies
5K Views
wadau nimeshindwa kabisa kudownload whatsapp kwenye simu yangu. mwanzoni ilikuwepo mara wakaniambia kwamba imefikia ukomo. nilipojaribu kuiupdate kama walivyosema nikashindwa. mara nikajikuta...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima kwenu wadau, simu Yangu techno h5 inagoma kuwaka kabisa. Nikichomeka chaji inaniambua select boot mode na options zake chini za recovery, fast boot na normal. Ila power button na volume...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari mchana wajuvi? Nimejaribu kuinstall Kodi kwenye laptop yangu lakini nikii-run inaonesha "ERROR: Unable to create GUI. Exiting." File hilohilo nimeliweka kwenye desktop inapiga mzigo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomben msaada jinsi ya kuzitambua samsung original hususan hizi zenye lain mbili au duos,
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, habari zenu. Nimenunua laini ya halotel na ninataka nijiunge na bundle zao za internet. Kwa sasa hivi sijui kabisa codes zao za kuomba kujiunga na bundles za internet. Naomba mwenye...
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Natamani nikiwa kwenye WIFI simu yangu iendelee kucharge Mb ili nibrowse baadae...tech hii ipo? kama haipo hakuna aliyewahi kufikiria hili na kulifanyia kazi?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu nina iphone 4,ambayo imelokiwa na mtandao wa nje.. msaada wakuu wapi naweza unlock hiki kitu?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada tecno m3 inaandika unfortunately,privacy guard has stopped
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau nimeshindwa kabisa kudownload whatsapp kwenye simu yangu. mwanzoni ilikuwepo mara wakaniambia kwamba imefikia ukomo. nilipojaribu kuiupdate kama walivyosema nikashindwa. mara nikajikuta...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mara nyingi simu yangu inapoleta noticification ya phone storage space is getting low huwa naclear data baadhi ya application, swali je huwa zinakwenda wapi?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…