Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu, Napenda kuuliza kwa mwenye ufahamu kwa nini AdSense huamini clicks zaidi kutoka AMERICA, mfano kuna account moja USA earned dollar ni 72 ,Tanzania 5.2 dollar lakini clicks za TZ...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye kuelewa jinsi ya kubadili android version mfano kutoka 4.3 jelly bean kwenda 4.4.2 kitkat anisaidie natanguliza shukrani
0 Reactions
46 Replies
9K Views
1. Punguza brightness kwenye simu 2. Zima WiFi / Bluetooth / Data pale unakuwa huitumii 3. Tumia vibration pale inapohitajika. 4. Tumia Airplane Mode ukiwa sehemu isiyo na network reception 5...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Mwwnye ujuzi na simu hizi anisaidie
0 Reactions
3 Replies
9K Views
This is device to transport matters or energy from one place to another place without traversing the physical space between them. Sasa inshu ni hivi..i know na nyie mnajua TANZANIA ni muungano...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simu tajwa hapo juu imekufa battery yeyote anayeweza kuipata tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
631 Views
By 2020, 70 percent of the world will be using a smartphone, according to Ericsson’s mobility report. Mobile data networks will cover 90 percent of the population. With cloud services like...
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Andika *#06# kwenye simu yako. Zitakuja imei no number hizo zipo 15. Kama simu ni double line zitakuja imei mbili unaweza kuhakiki ya kwanza kisha ya pili. Zikopi no hizo kisha ingia ktk link hiyo...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wanajamvi Jamani shida yangu ni mmoja tu nahitaji ni app gani ambayo itaniwezesha ili kuweza kuhuck simu ya wife maana mmmh please serious mwenye uelewa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
We always say it’s always better to be prepared than sorry. Windows 10 is here and there are a few things you should know before you take the leap. While you can update on launch day, or wait, as...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
msaada. Simu yangu ya nokia x2 contacts na messages hazifunguki na nikipigiwa screen haioneshi kitu.nimejaribu kureset kwa kutumia code ya *#7370# but tatizo bado liko palepale.Msaada please!
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Habari wanajamvi Jamani shida yangu ni mmoja tu nahitaji ni app gani ambayo itaniwezesha ili kuweza kuhuck simu ya wife maana mmmh please serious mwenye uelewa
0 Reactions
13 Replies
1K Views
History will recount that the Galaxy S6 fixed all the Galaxy S5’s weaknesses, but in doing so it gave up the Galaxy S5’s strengths. But now Samsung looks to have its head screwed on. A massive new...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wenyeji wa jukwaa hili. Naomba kufahamishwa matumizi ya mb vs mafile ambayo nayadownload. Kwa mfano nina salio la mb 500 je hizi mb zinatosha kudownload file la movie yenye mb 500...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Jamani waungwana mbona sipati Access ya facebook account yangu, au kuna tatizo? maana hata ninapoandika www.facebook.com sioni chochote kinacho appear. Msaada jamani.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Igweeeee! Natafuta adaptor ya aina hii hapo juu na sijui nitaipata vipi. Nataka niunganishe tablet ya android na kifaa kingine kwa kutumia hdmi/hml Sijaweza kukipata katika maduka ya jirani.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
SATELLITE is the broad word of that grow the same with internet network in that case I do like to know from u what exactly is it . Wanataaluma karibun mnisaidie ili tupanue maarifa
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Kuna mtu nilimuachia,Nilipoichukua kutoka kwake ikaanza kunidai Privancy Protection Password.Nikaona sio ishu sana kuepusha shari niende kuiflash tu maana kila tarakimu niliyojaribu kuingiza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Wadau ! Computer yangu HP Elite book ilikuwa ipo slow na in a stuck sana, nikaamua ku i reinstall window yake . Sasa wakati in reinstall ikawa inaniletea message kwamber kuna error...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina convert blogs/websites na kuwa android applications na kuzi-publish playstore ili iweze kupata downloads kama applications zingine ili iweze kuwa rahisishia watumiaji kutotumia browsers. Kazi...
0 Reactions
2 Replies
663 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…