Micro-USB HDMI adaptor: Inahitajika

Capital

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,457
1,052
Igweeeee!

Natafuta adaptor ya aina hii hapo juu na sijui nitaipata vipi. Nataka niunganishe tablet ya android na kifaa kingine kwa kutumia hdmi/hml

Sijaweza kukipata katika maduka ya jirani.
 
tablet haina miracast/dnla/widi?

Mkuu nina s6 na s4 zote zinasupport hiyo mirroring tv niliyokuwa natumia imepata tatizo sasa nina tv nyingine haisupport japo nayo ni smart hiyo kitu natufa kifaa niweze tazama gharama yake ni sh ngapi kwa tz?
 
40,000 kama kumbukumbu zangu zipo sahihi, ila huyo jamaa niliponunulia sijui kama anavyo bado. swahili mobile stand ya gari za mwenge/masaki/kawe
 
Back
Top Bottom