Matumizi ya MB kwenye Simu

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,227
8,001
Heshima kwenu wenyeji wa jukwaa hili.
Naomba kufahamishwa matumizi ya mb vs mafile ambayo nayadownload.
Kwa mfano nina salio la mb 500 je hizi mb zinatosha kudownload file la movie yenye mb 500?
Hizi mb zinatumikajetumikaje mpaka inafika mahali zinaisha. Na mwisho nifanye nini ili kumaximize matumizi ya mb zangu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati nikitumaini nitasaidiwa.
 
We ni wa BBC nini? Anyway kama una mb 500 ndio utaweza download movie yenye mb 500.. MB zinatumika kadri unayotumia data kwenye device yako, ukitumia data kiasi cha salio lako la mb ndio mb zinaisha.... Ili umaximize matumizi ya mb we download movies,ingia YouTube uangalie videos hapo utakuwa umemaximize matumizi yako hahaha
 
Sidhani kama hili ndio jibu alilolitarajia...
Haahaa ila nimecheka sana
 
Practically hautaweza kudownload file la 500MB kama una 500MB tu kwenye simu yako, kwa sababu 500MB bundle ni total kudownload na kuupload, na unapokuwa unadownload kitu always unaupload pia although ni kiasi kidogo zaidi.

So kwa mfano kama unatumia TCP protocol (browser,download yoyote ya kawaida) PC yako always inaongea na server unapodownload hiyo file inaiambia imepata vipande vipi vya file kuhakikisha file inashuka bila kuwa corrupt na kucontrol spidi ya download kulingana na network yako. So file ya 500MB itakula zaidi ya 500MB.

MB zinatumika pale simu/pc yako inapodownload au kuupload data, hata kama hautumii App yoyote zinakuwa zinakula data zikiwa background kwa mfano WhatsApp inashusha msgs inaupload phonebook yako, email app inashusha emails, aps zinakuwa updated etc.
 
Kweli Kang pia kwa kuongezea kuna maandalizi ya kudownload yaani kufungua browser, kusearch hilo fail, yote hayo yanagharimu data(mb). Halafu kumbuka wakati unadownload kuna matangazo, kuna notifications za whatsapo, facebook,nk zinaingia, zote hizo zinakomba mb.
 
!
!
Asante sana mkurugenzi. Niliuliza kwa sababu kuna muda nakuwa nadownload movie au music ila ghafla mb zinaishia njiani wakati file lilikuwa dogo tu. Ndio maana nikauliza. Sasa hawa kenge wengine ambao wao ni wajuaji kwa sana badala ya kunisaidia wanaleta mbwembwe sizizo na maana.
 
Kweli Kang pia kwa kuongezea kuna maandalizi ya kudownload yaani kufungua browser, kusearch hilo fail, yote hayo yanagharimu data(mb). Halafu kumbuka wakati unadownload kuna matangazo, kuna notifications za whatsapo, facebook,nk zinaingia, zote hizo zinakomba mb.

!
Kweli kabisa huwa zinapop up mara kwa mara. Niliposema kumiximize nilimaanisha kupata the best out of the least mb that i have. Sasa wale kenge kule juu ni wajuvi mno kuona mi nauliza wao wananizingua vipi niwatukane
 
kiingereza tabu labda alikusudia Kupunguza (minimize) matumizi,.
!
!
Mimi kiingereza sio tabu anko. Nilikuwa na maanisha kumaximize output from the same units of mb. Nimemaanisha efficiency, kupata the best out of the least.
 
Basi siku nyingine umtukane yeye mwenyewe. Tusitukane wazazi wetu ambao hawana hatia kwenye haya maujinga ya humu JF.
!

!
!
Nimefanya kosa la kijinga kabisa. Sikuwa na sababu ya kumtukana. Ningemkaushia tu. Anyway, foolish mistake that was. Imetokea mara moja na haiyatokea tena.
 
Pamoja sana kiongozi. Kufanya kosa si kosa sana... bali kukirudia.

!
!
Unajua tena kuna muda hasira za out of nowhere zinaleta maamuzi mabaya. Yaah hakuna sababu ya kumtukana, sio mama yake tu, hata yeye mwenyewe. Haitajirudia na kama atasoma hapa fresh kiroho safi bana sorry anisamehe tu fresh maisha yaende
 
Back
Top Bottom