Tecno P6 imenizingua

dasenior

Senior Member
Jul 24, 2012
138
57
Kuna mtu nilimuachia,Nilipoichukua kutoka kwake ikaanza kunidai Privancy Protection Password.Nikaona sio ishu sana kuepusha shari niende kuiflash tu maana kila tarakimu niliyojaribu kuingiza ilikataa.Sasa nimeiflash ila tatizo lipo palepale,Kwa ambae anafahamu universal Password za ku-unlock simu yangu anipatie msaada tafadhali.

"Ahsante"
 
Yaani umeshindwa kumuona huyo mtu aifungue? Au naye kasahau password? Maana sioni sababu ya kuflash simu wakati mtu aliyeieekea password yupo. Hata kama kakuudhi mfate akufungulie tu mmalizane
 
Yaani umeshindwa kumuona huyo mtu aifungue? Au naye kasahau password? Maana sioni sababu ya kuflash simu wakati mtu aliyeieekea password yupo. Hata kama kakuudhi mfate akufungulie tu mmalizane

Kwa muda ambao nilimuacha nayo angeweza kuifungua na mpaka ninalitoa hili tatizo hapa inamaana nimeshafanya kila njia za kuwipe data lakini bado.
 
Kuhusu protection simu itakuwa imefungiwa kwa laini kwahyo muone jamaa uliyemwachia akupe hizo password na bila hivyo trust me simu itakuwa ya ku2pa2 hakuna ujanja labda kama ingekuwa inaomba PIN&PUK hapo ningekusaidia
 
Kwa muda ambao nilimuacha nayo angeweza kuifungua na mpaka ninalitoa hili tatizo hapa inamaana nimeshafanya kila njia za kuwipe data lakini bado.
Kuwipe data ni another case tatizo ni kuwa jamaa alifunga simu kwa ku2mia laini unaweza kurestore mpaka ukachoka cha msingi mwombe jamaa password au amezisahau?
 
Ahsanteni,Tatizo langu limepata ufumbuzi.Simu ilikuwa imefungiwa kiasi kwamba ilibidi kufuta file zima la system na kuweka file jipya la system ya tecno p6 kwa kucopy kupitia simu nyingine zinazolingana uwezo.Mpaka hivi simu yangu imekuwa kama mpya.
 
Last edited:
Kuna mtu nilimuachia,Nilipoichukua kutoka kwake ikaanza kunidai Privancy Protection Password.Nikaona sio ishu sana kuepusha shari Kupanea na kumwaga mbegu shamba ni kubwa kuiflash tu maana kila tarakimu niliyojaribu kuingiza ilikataa.Sasa nimeiflash ila tatizo lipo palepale,Kwa ambae anafahamu universal Password za ku-unlock simu yangu anipatie msaada tafadhali.

"Ahsante"
 
Back
Top Bottom