Hakiki simu yako kwa mtandao

the muter

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
1,330
1,799
Andika *#06# kwenye simu yako. Zitakuja imei no number hizo zipo 15. Kama simu ni double line zitakuja imei mbili unaweza kuhakiki ya kwanza kisha ya pili. Zikopi no hizo kisha ingia ktk link hiyo uhakiki

IMEI Code Verification

Kumbuka kuanzia June simu fake hazitatumika
 
Mkuu! Mbona ninapohakiki IMEI moja naletewa Is not Genuine?
Simu yako ina imei ngap? Kuna ya pili inakubali. Kama imei moja na not genuine ujue ni fake ila usiwe na wasiwasi wataextend deadline
 
Iko na IMEI mbili lakini zote zinaandika not genuine, nikajaribu pia na simu ingine Nokia but majibu ni yaleyale.
 
Andika *#06# kwenye simu yako. Zitakuja imei no number hizo zipo 15. Kama simu ni double line zitakuja imei mbili unaweza kuhakiki ya kwanza kisha ya pili. Zikopi no hizo kisha ingia ktk link hiyo uhakiki

IMEI Code Verification

Kumbuka kuanzia June simu fake hazitatumika

simu fake hazitatumika[/QUOTE]
ahsante mkuu acha nichek na yakwangu
 
Back
Top Bottom