Melvine
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 697
- 1,301
This is device to transport matters or energy from one place to another place without traversing the physical space between them.
Sasa inshu ni hivi..i know na nyie mnajua TANZANIA ni muungano wa nchi 2 uko way bak yaan TANGANYIKA na VISIWA VYA ZANZIBAR.
Sasa ningukua na iyo device AKI YA MUNGU ningerudi bak in tym na KUMKATAZA jamaa aliyetunga na kusema huo MUUNGANIKO uitwe TANZANIA....yaani ungeitwa Hata DODOMA HIVI au jina lingine.
Yaan TANZANIA SUCKS KABISA. KUNA WATANZANIA HAWATAKI HATA KUJULIKANA NI WATANZANIA
YAAN WANATAMANI WAWE SIJUI NCHI GANI MAANA NI AIBU KUITWA MTANZANIA TENA HASA KATIKA NYANJA ZA KIMATAIFA.
Kwa leo ni Ayo tu