Nokia x2- 01 Not working

Emoj

JF-Expert Member
Oct 9, 2015
838
1,302
msaada. Simu yangu ya nokia x2 contacts na messages hazifunguki na nikipigiwa screen haioneshi kitu.nimejaribu kureset kwa kutumia code ya *#7370# but tatizo bado liko palepale.Msaada please!
 
Nenda kaflash simu yako, acha kufanya usichokijua.
 
Back
Top Bottom