Windows 10 reinstallation error

Windows 10 reinstallation error

Joined
Jul 2, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Habari Wadau !

Computer yangu HP Elite book ilikuwa ipo slow na in a stuck sana, nikaamua ku i reinstall window yake . Sasa wakati in reinstall ikawa inaniletea message kwamber kuna error imetokea - ambayo ime interrupt installation hivyo nibonyeze OK ku restart installation process . Sasa ni masaa karibia saba inanipa same error , nimejaribu kila nmna nimeshindwa. Naomba mawazo kwa wataalam au mtu ambaye ashakumbana na shida kama hii.

Natanguliza shukrani.
 
Piga windows chini yote. .uanze upya
 
Siwezi fanya chochote kwenye screen zaidi ya kuona hiyo error message na kuwa requested ku press OK ku restart process.
 
Unatakiwa upige tena window upya unaweza kutumia cd au flash
 
Habari Wadau !

Computer yangu HP Elite book ilikuwa ipo slow na in a stuck sana, nikaamua ku i reinstall window yake . Sasa wakati in reinstall ikawa inaniletea message kwamber kuna error imetokea - ambayo ime interrupt installation hivyo nibonyeze OK ku restart installation process . Sasa ni masaa karibia saba inanipa same error , nimejaribu kila nmna nimeshindwa. Naomba mawazo kwa wataalam au mtu ambaye ashakumbana na shida kama hii.

Nitafute tuondie tatizo 0713 555991
 
sasa bila kututajia hio error sisi tutajuaje hilo tatizo?

icopy na kuipaste hapa full
 
Inabidi uandike era hiyo unayopata bila kuacha kitu.
 
Kama sio mtaalam pelwka kwa wataalamu. Una risk kupoteza data zako kama hautakuwa makini. Kabla ya kufanya chochote hifadhi data zako mahali salama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom