Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habarini wana jukwaa poleni na majukumu tafadhali naomba kujua bei ya kioo cha simu aina ya HTC desire 816 Kwa dar mimi nipo morogoro nimetafuta bila mafanikio asanteni sana.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari Wakuu? Nimefungua blogspot mwaka jana. Nataka iweze kuwa na matangazo ya ads. Nimejaribu ila nimekwama kidogo naomba msaada.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Msaada wadau, mimi natumia window 7 altimate kwenye desktop na laptop lakini kuna virus hivyo kila nichomekapo flash na kutuma mafaili yote yanakuwa shortcut nisaidieni wanajamvi nimeweka...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
iPad mini (Wi-Fi/VZ & Sprint/GPS - 1st Gen) 1.0 GHz* Apple A5 Intro. October 23, 2012* Disc. June 19, 2015** Order MD540LL/A* Model A1455 (EMC 2609*) Family iPad mini (Wi-Fi + Cellular MM) ID...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bundle ya Tigo night ambayo ilikuwa 20 GB ikichakachuliwa hadi ikawa 5 GB sasa imezidi kudhoofika na imeshuka tena hadi 4GB! :(
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naomba mnisaidie....nikiwasha pc yangu napata ujumbe kwmba window is not genuine...na kila mara napokea notification hiyo....nisaidien wakuu ili kutatua tatizo hili. Natanguliza shukran zangu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nina tatzo na simu yangu huwa inadownload apps za apus kila nikifungua phone browser tatizo hili linapelekea simu yangu kuisha kifurush cha intanet mara kwa mara msaada wakuu tafadhari
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Samsung player model HT-E6750w/xy imetoa msg ya protect mode baada ya kuwaka kisha ikazima. Nimechat na Samsung kwa kuwapa serial number naona ni story tu. Pls mwenye uelewa wa hii maneno
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu naomba msaada jinsi ya kuinstall whatsapp plus kwenye simu yagu
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna simu aina ya Huwawei 360 nimefanya reset, contacts zangu zilizokuwa kwenye simu zimefutika. Naweza vipi ku_restore namba zilizofutika? Cc CHIEF MKWAWA Mwalimu rct
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanabodi Simu yangu ya note 3 inashida ya flash kwenye front camera, ukipiga haiwaki,msaada kwa hili.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
A concealed motor has been discovered during the examination of a bike used by a Belgian cyclist at the world cyclo-cross championships. The bike was seized by cycling authorities after Femke Van...
0 Reactions
1 Replies
558 Views
JE LAPTOP AINA YA ASUS YENYE Processor: Intel(R) Celeron(R) CPU N2840@2.16GHz 2.16GHz RAM 2.00GB NAWEZA KUPIGA WINDOW7
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Inazingua kureboot ukitoa memory hai display inataka u switch off ni SAMSUNG SGH-i917 software windows phone7 OS version. 0. 36. 2. 0
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Habari zenu wana sayansi na teknolojia? Nimefuatilia mwanzo mwisho threads nyingi humu zinazohusu FTA channels na visimbusi vya azam, DStv, zuku n.k Lakini sijapata elimu ya mwanzo mwisho, hatua...
0 Reactions
4 Replies
13K Views
Simu yangu Sumsung galaxy note 3 SM-N9006 haina Google play store kwa ajili ya kudownload application! Naomba msaada wana jamvi jinsi ya kutatua hilo tatizo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninatumia acer laptop window 8. 1 inaload muda mlefu wakati nataka kupair other Bluetooth devices si hivyo tu haizionyeshi hizo devices kwenye display msaada jamani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I bought a one month internet bundle 2 GB for 15,000 Tshs not more than two weeks a go from Vodacom. On Sunday, 17th Jan, I received a message that I have consumed all 2 GBs! I am not tha heavy...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii ni blog ambayo nimededicate kuelezea mambo mbalimbali na ya tofauti kuhusiana na technologia kwa ujumla naomba support yenu ili niwezew kufanya mambo makubwa TECHEDU TANZANIA: THE HISTORY OF...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kila nikijaribu kusearch chanel hamna inayo tokea naomba msaada nifanyeje.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…