JINSI YA KUFUNGA AZAM DISH/HOW TO INSTALL AZAM DISH

Jmo

Member
Jul 15, 2011
17
2
Habari zenu wana sayansi na teknolojia?
Nimefuatilia mwanzo mwisho threads nyingi humu zinazohusu FTA channels na visimbusi vya azam, DStv, zuku n.k
Lakini sijapata elimu ya mwanzo mwisho, hatua kwa hatua namna ya kufunga dishi la Azam mpaka ufikie kupata channels.
Endapo kuna wenye uelewa huu naomba tushee maujanja (picha zitaongeza uelewa zaidi). Chukulia kwanza ndo umeinunua, uunganisheje, nyuzi, uelekeo na satelite.
Nawasilisha
 
Kama huna uwezo wa kulitazama lilupofunfwa hapo karibu yako na kuigizia na kuomba picha huku, kifupi hutaweza.
 
ushauri mkuu tafuta fundi uone anavyofunga lakina kukuelezea hapa inakuwa ngumu sana
 
Back
Top Bottom