Fungua hii link,
ASUSTeK Computer Inc. -Support- Driver & Tools - ASUS ZenFone 5
Ikishafunguka, bonyeza kwenye link ya firmware, soma vizuri maelezo kisha chagua firmware inayoendana na simu yako.
Nina simu nataka kuiuza ni Samsung s4 nililiset sasa sahizi nikizima au kuwasha inaandika android badala ya Samsung niifanyeje ili irudi kama zamani I??
mwenye kuelewa naomba anisaidie kuelewa muda ambao facebook hutumia kusolve tatizo ambalo nimeripoti. pia naomba kueleweshwa namna ya kureset account ya Facebook ambayo nimesahau email...
Heshima kwenu wadau wa jukwaa hili tukufu,
Ingawa mimi si mgeni humu ila nina muda kidogo sijaingia zaidi ya kupita tu japo nashangaa hawa jamaa wamebadilisha muonekano mzima wa JF tofauti na...
Windows 10 overtakes XP and 8.1, still lags behind 7
Six months after launch, Windows 10 has finally leapfrogged over both XP and 8.1 to become the second most popular desktop operating...
Jamani natumia google chrome na mozilla firefox kwenye pc ya hp elitebook8460p ambacho sitaki kukiona ninapofungua hizi browser ni yale ma popular sites nataka nikute search engine ya google tu...
Habari tano za teknolojia ambazo hazifai kukupita
Teknolojia hubadilika mara kwa mara na kila siku kuna mambo mapya yanayovumbuliwa na mitindo pia kubadilika.
Hapa, kuna makala tano kuhusu...
Kuna watu wameshakutana na hii error katika windows 10.?
" One or more network protocol are missing on this computer "
Uliisolve vipi.? Maana inakera. Nimejaribu fuata ushauri wa ku-reset...
what is exactly difference between zip() and map() in python it seems to brig the same answer when u execute block one and block two codes ? some one can tell me in simple way so that i can...
The Samsung Galaxy S7 Edge release date has yet to be announced ahead of Mobile World Congress 2016 this year, the annual smartphone and portable device conference held in Barcelona, Spain (Feb...
Kwa Ufaham Wangu Najua Blackbery Walikuwa Wakiongoza Kwa Mda Mrefu Katik Security Kwa Sasa Tuna Aminishwa Na I Phone Kweny I Cloud Kuwa Ndo Ina Ubora Zaid Katka Ulnzi Je Ni Kwel Kwamb Blackbry...