mtandao wa sim wa voda wanahuduma ya kuwa hata simu ikiwa offline,mtu akipiga inamwambia kuwa tutamjulisha kuwa ulimpigia;sasa naomba unaipataje hii huduma?msaada plz.
Kunasababu nyingi za kutaka kujua nani amekublock kwenye account yake :mad: ? Whatever the reason kujua ni hatua chache moja wapo ni kuclick FOLLOW button kama amekublock hata ubonyeze follow...
Nahitaji kisimbusi cha startimes cha zamani. Nataka nimpelekee bibi kijijini. BAJETI yangu ni elfu 20 (tzs).
Niko mbezi mwisho - Dar
0715907360 au 0757049601
Habari zenu...
Nina simu aina ya Samsung S3 na nimesikia inawezekana kuiupdate Android version yake kwenda kweny lollipop
Kwa sasa version yake ni Jelly Bean.... Naomba msaada jinsi ya kuiupdate...
LIST OF WINDOWS KEYBOARD SHORTCUT
ALT+- (ALT+hyphen) Displays the Multiple Document Interface (MDI) child window's System menu
ALT+ENTER View properties for the selected item
ALT+SPACEBAR...
Nina Ipad 1 ios version ni 5.1.1 lakini nikitaka kuinstall whatsapp kutoka kwenye store yao wanasema niwe na ios version 8.4 sasa nikiangilia current version ni 5.1.1 je kuna uwezo wa kuupdate...
Habar wakuu,
Mimi sina uzoefu kabisa na simu aina ya samsung na nmenunua galaxy s3 used, wasiwasi wangu ni kwamba nilipo watumia TCRA imei ya hii simu nimeambiwa kuwa simu yang ni 'samsung...
Ndugu wana jamii naomba msaada kuhusu hili.
Nimesajili laini mpya ya halotel ya wanachuo na nikajiunga kifurushi cha mb 600 cha wiki ila tatizo ni moja tu kua licha ya kua nimefanya...
habari zenu waungwana..naomba msaada kwa mwenye kuweza nisaidia screen ya aina ya laptop yangu..Ni HP PROBOOK 6570b. Nahitaji screen yake kwakua yakwangu imeharibika..naomba kama utaweza nisaidia...
Kipindi hichi cha EURO 2016 Facebook messenger wameiachia game ya soccer ambayo watu walikuwa wanaisubiria, kama unakumbuka ile ya basketball it was VERY FUN, lakini hii ya soccer it's MUCH FUN...
Nimekinuuna yapayata mieezi sits iliyopita baggti nbaya nilikua nimesafiri sasa nimerudi kila nikiwasha kinaniambia no signal je nifanyeje, nimejaribu kuzungusha antenna bado Niki search Chanel...
Nime-download fifa 15 katika PC yangu ya core i3 ila kila nikifungua inagoma sasa nashindwa kuelewa tatizo ni uwezo wa Pc au kuna mautundu mengine unayo takiwa kufanya kama yapo mnielekeze wakuu...
Natumain wte humu ni wazima Kama kuna m2 anaijua sage evolution vizur naomba msaada jinsi ya kufanya offline branching
Coz nafanya bt kuna error napata
IWE NA SIFA HIZI:
core i3 2.5 processor
graphics card iwe ni NVIDIA au AMD kuanzia 512mb na kuendelea
HDD iwe kuanzia 320 na kuendelea
RAM kuanzia 4GB na kuendelea
processor yake ianzie 3rd na...
ChatDealz is redefining the concept of local connectivity in TANZANIA.ChatDealz helps you to connect with your surrounding people/businesses in TANZANIA .
Install ChatDealz @ YoApp: Hyperlocal...