Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Poleni majukumu wakuu? Nina simu yangu aina ya galaxy s3 nikiiweka tu kwenye chaji lazima ijiwashe na haiwezi kuchaji ikiwa imezima, mwenye kujua jinsi ya kusolve hii case anisaidie.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamvi ninaomba msaada wa jinsi ya kupata spam messages zilizofutika katika email yangu. Nilifanya application under NACTE na password pamoja na username Vilitumwa ktk email yangu Kama spam...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Mimi natumia modem ya tigo huawei e303 nimejalibu kui unlock iwe inatumia mitandao yote nimeshidwa. Kwa anaejua naomba anisadie maana nimeteseka kweli.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Simu yangu nikivuta notification pale juu inakataa.ila NIKI rotate ikawa kiupande inakubali kushusha notification.. Ikiwa landscape mode inakataa.. Nini suluhisho
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Salam ndugu zangu. Mimi ni mwanafunzi wa Computer science mwaka wa kwanza. Nataka ku base kwenye mambo ya security, database, app development, web creation na upande wa server. Mimi nataka...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Habarini....Itakumbukwa kuwa nilokuja hapa na Thread ambayo nilielezea jinsi yule jamaa alivyo niibia baada ya kunambia angeniuzia Mackbook pro kwa Laki 2.5! yule jamaa anae jifanya anatokea...
6 Reactions
31 Replies
7K Views
habari zenu wadau. nahitaji msaada. hivi simu ina maana gani pale nikipiga na yenyewe kuniandikia INVALID NUMBER ? Nitashukuru sana.
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Njia kumi za kutunza chaji katika simu yako kudumu muda mrefu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hey guys mimi nahitaji kuwa mmojawapo wa hackers hatari zaidi duniani,je ni course zipi za kusomea ambazo ni za muhimu for someone to become a hacker ? Msaada tafadhali
1 Reactions
35 Replies
8K Views
Habari wakuu! Naombeni mnipe maujanja ya nisipelekwe youtube app ninapokuwa ninastream kwa kutumia browser ya Opera Mini,shida yangu ipo hapo tu kwenye opera mini,browser nyingine kama default...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za Leo greater thinkers.... Mimi Nina shida kidogo naomba kueleweshwa na wajuzi wa haya mambo ..kuna mitaa huwa nikikatiza simu yangu inaandika available wi,_fi network but huwa siielewi...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
In Techno r7
0 Reactions
0 Replies
506 Views
habari wakuu, hivi kuna utaratibu wowote ambao unatakiwa kuufuata au kupata kibali kwa ajili ya kuanzisha website ya kuweka habari za michezo za kitaifa na kimataifa mfano kuweka habari za ligi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina file za excel zipo kwenye folder moja,nikijaribu kufungua zinaleta ujumbe huu kama inavyoonesha kwenye hii picha, naombeni msaada wenu maana nimejaribu kila namna ngoma imegoma.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama una taka ongeza nafasi kweny simu yako bila kufuta chochote fanya hivi 1. Angalia simu yako Ina gb ngap ambazo zime baki 2. Download file leny ukubwa zaid ya gb ambazo zimebak kwenye simu...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Fahamu jinsi ya kutunza chaji zaidi kwenye iphone yako unapokua mbali na chaji
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamiiForums Nilikuwa naulizia hivi tofauti kubwa ya MICROSOFT EXCEL na MICROSOFT ACCESS ipo wapi maana kama format ya data entry inaweza kutumika hata ukitumia Excel?. Nipo sahihi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Leo wamezindua Logo mpya pamoja na Huduma Ya 4G LTE, je watakuwa wamebadilika pia katika ubora wa huduma zao?
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Wakuu, baada ya kuhama kutoka OS za Windows nimeamua kujikita kwenye OS za Linux. Baada ya kupitia machapisho mbali mbali na kufuatilia tutorials mbali mbali za video niliona nijikite kwenye...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari ya uzima mkuu nimepata dell precision m6300 video card ni NVIDIA Quadro FX 1600M - 256 MB Hapa vip mkuu kwa game kama gta 5 na fifa 16 pia warcraft
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…