Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari yenu ndugu wana jamii wenzangu . Nilikua napenda kujuzwa kuhusu ukomavu WA store yetu sasa bhas kwa kua ulikua Changa je Kuna apps zozote zinazoongezeka ambazo pengine. Zinafunction muhimu...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
wakuu habari, nina laptop yangu ambayo imeanguka na kushindwa ku start, kwenye analysis fundi ananiambia hard disk ndio mbovu, sasa naomba msaada wa namna ya ku recover data kwenye hiyohard disk...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Hii Modem imenishinda kuichakachua kwa kutumia switchprojectModem ile alio Post gkiwango Adress yake iko unique http://192.168.8.1/html/home.html tofauti na zile za Vodacom Hilink Pia nikiweka...
0 Reactions
55 Replies
18K Views
Eti jaman naskia matangazo kwenye Radio kuhusu king'amuzi cha ZUKU wanadai eti ni kizuri halafu kina channel kama 70 hv, kwa aliyek2mia naomba atueleze ubora wa hiki king'amuzi na jins gani...
1 Reactions
30 Replies
24K Views
Samsung wameshatoa mzigo wa sumsung galaxy s7 mzigo hatari na matata kabisa huku ukiwa na battery la 3000mah. ====== Kampuni ya Samsung imezitangaza rasmi simu za Galaxy S7 na S7 edge kwenye...
9 Reactions
81 Replies
24K Views
JAMANI NIMEWASHA COMPUTER YANGU YA DELL 610, NIKAKUTANA NA TATIZO HILI '' MANUFACTURING MODE: LEVEL '67'''''PRESS FN + X TO RETURN THE SYSTEM TO NORMAL MODE'. NIKI PRESS fn x haifanyi kazi...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Nahitaji kujua namna ya ki set whatsapp ili ukiwa online mtu asijue na ukisoma sms mtu asijue
1 Reactions
3 Replies
765 Views
Nawasalimu wote. Samahani wanajamvi hivi TV za LG flat screen huwa zina mfumo wa kupata channel za free bila kutumia king'amuzi wala cable kama ilivyo Samsung TV Kama huo mfumo upo. Unafanyaje...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau na wapenzi wa full version software na magame ya ukweli kama PEs,GTA,HITMAN,GOD OF WAR na mengineyo mengi kamueni hapa then mnipe matokeo #Muhimu hakikisha umeinstall utorrent na IDM pia...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu leo nimepigiwa simu na Tigo wakidai wanatoa offer ya line za 4g kwa watumiaji wa internet, yani napewa hiyo line kwa namba yangu ile ile! Sasa kabla sijaamua kuifata na kubadilisha line...
1 Reactions
58 Replies
9K Views
Hey, I just downloaded WhatsApp Messenger on my Android. It is a smartphone messenger which replaces SMS. This app even lets me send pictures, video and other multimedia! WhatsApp Messenger is...
2 Reactions
0 Replies
787 Views
Team USA Continues to Win in Rio: Pictures Team USA Continues to Win in Rio: Pictures
0 Reactions
1 Replies
744 Views
Pengine umewaalika rafiki zako nyumbani. Una party ndogo. Unachezesha miziki kwa laptop yako. Laptop yenyewe umeiweka kwenye meza ya pembeni karibu na chanzo cha umeme, au pengine karibu na...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimekumbana na tatizo hili kwenye pc yangu linaniletea tu message hii "settings.ini is being used by another process. Close other program" naomba msaada wenu wadau
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ninahitaji kujua watu wangapi wako interested kujifunza programming na ambao wanahisi wakielezwa kwa kiswahili is better kuliko kiingereza. Kama ndio tupia hapa ungependa kujua nini. Nafikiria...
16 Reactions
160 Replies
17K Views
Help!!!! Kuna galaxy tab s haina play store INA Samsung app peke ake nifanyeje kupata play store Tab ina run android v5.0.2
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau msaada wa ku activate card yangu ya visa kwenye website ya crdb,baada ya kuangaika sana kufuatilia waiactivate ili niweze ku purchase vitu online,hatimaye wamenitumia txt kuwa naweza shop...
0 Reactions
38 Replies
18K Views
Hii kitu inaukwel wowote.? Nimekuta kwenye account yao ya twitter
0 Reactions
86 Replies
16K Views
Habari zenu! Mara baada ya TCRA "kufungia" simu ambazo ni "feki" kuna simu ambazo ni ORIGINAL zimekuwa zikisumbua sana. Simu hizi ukifuata maelekezo ya TCRA kutambua kama ni feki au la zinaleta...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…