Siku za kalibuni asilimia 90 ya simu zenye antivirus zimepatwa naatatizo mbalimbali ikiwemo kuzima kustack nk
KWANN ANTIVIRUS NDIO IWE CHANZO CHA TATIZO IKIWA NDO KINGA?
kila simu ya android...
Hii tatizo la tapatalk kutokuwepo kwenye App Store naona lina impact kwa wale walioUnistall hii app hawataoweza kuipata kwenye AppStore.
Na endapo utaiDownload kutoka Kwenye website ya tapatalk...
Habari wakuu kuna simu hapa tecno L8 ina hii cable inaitwa OTG sasa swali langu naweza kutumia modem katika internet,yaan nizime data alafu nitumie modem
Download manager ni andoid ambaye anashugulika na kudownload ktk simu yako ivyo pale anapoblokiwa uwa simu inaandika unfortunately google playstore stoped ili neno utokea mara kwa mara ktk simu...
Waungwana
Ninashida kujenga banda la uwani,, ni vyumba 3 kila chumba kikiwa na choo yaani self. Engineer kaniambia nimlipe mil 7 yaani kufikisha kwenye matoleo tu,,, then from there tuongee tena...
Mimi nime maliza kidato cha nne mwaka 2008 kama mnakumbuka miaka hiyo kulikuwa matokeo yakitoka huwanaweka namba tu sio majina kama siku hizi kama sikosei sasa mimi bwana sikumbuki namba yangu ya...
naomba msaada Wa kuckrack easy video maker 5.26 au software yoyote ya kuedit video nzuri kwa beginner ilimradi isiwe trial version..
natanguliza shukrani.
Kama nilivo jieleza hapo juu najua humu nyumbani kwetu kuna majibu ya takribama maswali yote ambayo watu ambayo yanahitaji majibu. Nimepakua (download) encyclopedia Britannica 2013 imenishinda...
Wakuu nimeachiwa iphone 4s na best yangu mmoja hivi aliyekuwa hapa nchini tulikutana some where at the end akanipa iphone sasa sikuwa na haraka ya kuitumia juzi naiwasha inaniambia niingize apple...
Habari zenu wanajukwaa? The latest version ya playstore ina leta error nikitaka kuifungua "Unfortunately playstore has stopped working" ni takribani mwezi sasa.Kwa version up to 7.3.2 ya June 2...
Leo natimiza mwaka sasa toka nimenunua king'amuzi changu cha star times, lakini toka nimenunua baada ya kukiwasha tu, nimekuwa natazama chanel zote zilizomo katika kinga'muzi hicho bila ya...