Hahahaha nimejikuta nachekaMkuu ni tecno hiyo??
Mkuu siyo kwa maana mbaya nilitaka nianze ushauri sasa,mimi ni fundi simu na hizo mishe almost kila cku nakutana nazoHahahaha nimejikuta nacheka
Nimecheka maana nilikua na tecno ilishanizingua sana namna hiyo. UsijaliMkuu siyo kwa maana mbaya nilitaka nianze ushauri sasa,mimi ni fundi simu na hizo mishe almost kila cku nakutana nazo
Mkuu ni tecno hiyo??
Me yangu hunambia ivyo nikiingia instagram ila App nyingine iko sawa! Shida nini!??HAIZURU CHOCHOTE,INAONYESHA INA HEAT / UNAITUMIA MNO!./
PUNGUZA APLICATION USELESS,WEKA ANTI ADS,SIMU UNAIPIGISHA SANA MZIGO,UKIENDELEA MNO ANDROID SYS ITAKUWA INA-COUNT 10 SEC INAJI - OFF.
Baba moja hao mkuumkuu hiyo simu inaitwa Gowin
Duuh! Bora watusaidie make mi ninayo huawei nimepeleka kwa mafundi wote dar wanasema hawawezi kabisa kutatua hili tatizoView attachment 378105
simu inateta hivyo muda wote, nifanyeje kutatua tatizo
Yangu ni huaweikukusaidia kwanza taja simu yako ni ain gani.? Tatzo hlo mostly n kwenyesimu za mediatek na baadhi ya smu za huawei ambazo ni qualcom...