Unfortunately instagram has stopped

New Nytemare

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
3,326
2,472
wakuu msaada wenu mwenye ufahamu kuhusu hii crash massege..
nime restore lakin wapi..
device yangu ni tecno c5 android 5.1
 
I get same thing nd also i run 5.1.1 yangu imatokea baada ya muda mrefu kuperuzi.....nadhani ni bug ya wenyewe insta
 
Kuna version mpya imetoka Leo....nenda playstore udownload upya.
 
wakuu msaada wenu mwenye ufahamu kuhusu hii crash massege..
nime restore lakin wapi..
device yangu ni tecno c5 android 5.1
hiyo simu imepatwa na virus ambao ujiingiza baada ya kudanganywa kuwa simu yako ina tatizo la betry hivyo kuiwezesha iwe na nguvu dowload software fulani, au your phone affected by virus please install software to disinfect hapo ndipo wanaindia kama kwao, wanaenda kwenye security wana dissable unknown software verify ili waweze kujinstall kwa njia ya patch, wakisha patch hata ukifuta siku tano uwezi kuwaondoa, hivyo kuna kifaa maalumu cha kuondoa wadudu na ku-repair gapps and apps zilizokufa.
 
softaware gan mkuu itanisaidia kurepare...
 
ebhane nimekuja kugundua na kusolve hilitatizo kwenye simu yangu baada ya kuformat sd card..ilikuwa ndo sababu
 
Back
Top Bottom