Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wataalamu.. Hii inaeza isiwe ngeni lakini si mbaya kurudia ili kuwapa mwanga wasiojua kama mimi namna ya kubold, kuweka maneno yao kwene italics na pia kustrike through pindi watuamiapo...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Ndungu wana jf naomba msaaada jinsi ya kuunganisha data za kwenye cm zitymike kama modem kwenye pc
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi kuna society ya programmers hapa bongo, ambapo watu mnaweza kukutana na kufanya challenges za programming na kubadilishana mawazo.
0 Reactions
3 Replies
843 Views
Mwenye NAYO au kufahamu driver ya laptop dell ya kusaport line ili iweze kusoma na kuconnect ktk INTERNET katka computer aina ya dell D630 naomba msaada plz NATUMIA WINDOW 7.NAOMBA ANITUMIE HAPA...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Tafadhali ningependa kufahamu ni vyuo vipi vya serekali hapa Dar es Salaam vinavyotoa kozi ya computer science and IT.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Follow the updates of the JamiiForums iOS App for iPhone and iPads (including iPods). Download link: JamiiForums on the App Store
12 Reactions
124 Replies
40K Views
Wanasayansi wamegundua sayari ambayo inakaribia sana Dunia kwa mazingira na ukubwa wake na ambayo inazunguka nyota ijulikanayo kama Proxima Centauri, iliyo na mfumo unaokaribia zaidi mfumo wetu wa...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari JF,baada ya kuhangaika mda mrefu hatimaye jana nimefanikiwa kuroot simu yangu ili niweze kuinstall app zenye uwezo wa kuhack games,lakin bahati mbaya sina ujuzi wa kuzitumia hzo apps kuhack...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu naomba anaefahamu sattelite ya hii chanel anifahamishe hapa niweze kuiwinda manake ina movie nzuri sana, Natanguliza shukrani.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau, Nina nyimbo kwenye laptop yangu. Bahati mbaya ili crash muda mrefu kidogo nimefanikiwa ku recover files. Baadhi ya nyimbo zinagoma kuplay (ziko kwenye format ya wav) nimejaribu kuzifanyia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau. Msaada tafadhali. Nina photocopy IR 2016 Na ina Uwezo wa kuprint ila CD ya printer imepotea. What should I do?? Your help please.
0 Reactions
1 Replies
809 Views
Wadau naomba kusaidiwabkstika hili, ninatumia tecno c9 kabla ya hapo nilikuwa natumia tecno f7 ambayo nilikuwa nikiitumia kuhamisha files toka kwenye pc na au kuingiza toka kwrnye simu, lkn toka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndungu wana jf nimekovernt nyingi kwenye pc yangu but cha ajaabu sioni file zipokaa msaaada hapo please
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari jf? Naomba msaada jinsi ya kuzuia matangazo kwenye mtandao (adds). Unafungua website Fulani lakini vinatokea vitangazo vingi visivyo na maana kabisa. Naomba msaada kwa anayefahamu. Browser...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wadau habari zenu, naombeni kujua jinsi gani naweza kuangalia East Africa Television on line (kwa simu), kuna kipindi nataka kufuatilia lakini mida yake inakwenda kinyume na ratiba zangu za...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu nimepata offer ya kuchagua simu moja wapo kama zawadi, ingawa sijawahi tumia hizo simu zaidi ya kuziona kwa watu. Kwa wazoefu wa hizo simu naomba mnisaidie ni simu gani bora na yenye mvuto...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
natafuta ipad ya gharama nafuu na camera kuanzia 13 na kuendelea
0 Reactions
0 Replies
560 Views
Simu uangu ya Huawei G6 - U10 ina limitation ya kuinstall apps mpaka 1070 mb tu, hata kama simu ina nafasi ya kuweka vitu vingine ie media, documents etc ya more than 1gb, lakini apps mwisho ni...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Helloww guys ,huu ni uzi maalumu kwa wale wadau wanaomiliki Blogs mbalimbali. Hapa tutaweza kubadilishana mawazo,kupeana teknolojia mbalimbali za uendeshaji wa blogs,Jinsi ya kuingiza kipato...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Kuna offer kabambe inaendelea sasa kwenye office zetu kama inavyoonesha hapa chini. 1.Webste designing +1 year hosting Tshs 350000/= 2.System or Database designing+1 year hosting plan...
1 Reactions
1 Replies
764 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…