Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ndugu zangu nimejaribu Ku burn CD imekataa nawezaje Ku update CD ROM. Drivers?
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Shida yangu ni kwamba Nina magroup ya whatsapp kama 10 sasa sipendi kuona jinsi watu wanavyoendelea kuchat maana napata notification nyingi zinanipa disturbance katika shughuli zangu,sitaki ku...
0 Reactions
38 Replies
13K Views
Kufungua application zinazotaka administrator privileges, au application ambazo hazifunguki mpaka uzi run as administrator, kwa ku right click app husika na kuchagua kutoka kwenye dropdown menu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari nipo, Chanika Dar es Salaam, kuna computer zangu mbili zinagoma kuwaka.Nataka kwa atakayenitengenezea kwa bei nafuu. Nipigie kwa 0714306015
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafauta cover la simu infinix note 3 x601 kama unayo niambie usijali kuhusu bei, nipo dar k.koo nimekosa. 0717501557
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Habari wana JF! Kuna hii Protocol wameanzisha CRDB kukutaka usajili Card yako na VBV/Secured Code,awali mimi nilikua na Master Card ambayo nafikiri nilisajili 2014 na ulikua unajaza Form tu then...
0 Reactions
12 Replies
13K Views
Habar wadau wa JF.. Natumain wkiend imeendaa poaa ya sartdy... Shdaa yang n kwamba nime install pes game kwny pc yang lakn cha ajabu game limekataa ku run on window 7 nkifungua inanambia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba msaada.. Niliacha PC yangu nyumbani kwa mdogo wangu sasa nimekuta yafuatayo . 1.desktop icon zote zimehamia kulia.... 2.program zote zipo kama kawaida lakini nikizifungua ni kama ndo...
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Pc yangu imezima ghafla na kujiwasha,mara tu baada ya kuwaka imepoteza sauti na kuweka alama X ile sehem ya kuongezea sauti,hii ni baada ya kumpa dogo atumie,then dogo alichomeka waya flan hiv wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu wa jukwaa la manufaa habari zenu,naomba kujuzwa kama kuna mbadala wa kuchuma mapato online kupitia internet zaidi ya Google Adsens na ni namna gani ya kujiunga na ni vipi unanufaika...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana tech, Leo tufahamishane kuhusu wifi hotspot zenye login page, mara nyingi hufahamika kama captive portal, hii mifumo hutumika sana kwenye migahawa ya kisasa na mahoteli ya kisasa, na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu. Naombeni kuelekezwa njia za ku-download kutokea hiyo site tajwa hapo juu 300mbfilms kwa kutumia IDM. Nimejaribu mara mbili tatu lakini naishia page inayosema get link. Yani...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Wakuu, napenda kujua, je nikiwa Tanzania naweza pokea hela kwa njia ya PayPal?
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wadau, nimevutiwa sana na hybrid apps development hasa kwa kutumia HTML 5, CSS na JavaScript. Nikiwa na background ya hizo language tatu ninatamani kukamilisha appkwa ujuzi huu nilionao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
naombeni mnisaidie jamani ipi ni nzuri inaweza tengeneza database vizuriii
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi sio mtaalamu kabisa juu ya mambo ya upimaji au utabiri ila nimeshangaa sana kuona wanatekinorojia wa kitanzania kutokuwa na VIFAA vya kutumia kujua au kutatulia matatizo. Hii imetokea mkoan...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni msaada namna inavyofanya kazi Tanzania nzima. Na je kita ATM ina mechanism yake au zote zinatumia software moja? Wale hacker hawawez choropokoa wakaiba pesa?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
https://r.tapatalk.com/shareLink?url=http%3A%2F%2Fwww%2Echinaphonereview%2Ecom%2Foneplus-3&share_tid=a6055ea2e29b6671ba5f4740495d06af&share_fid=1134576&share_type=b OnePlus 3
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Habarini? mwenye kamusi ya English kwa kiswahili cha Oxford university. Tafazali give me.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…