God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
Naombeni msaada namna inavyofanya kazi Tanzania nzima.
Na je kita ATM ina mechanism yake au zote zinatumia software moja?
Wale hacker hawawez choropokoa wakaiba pesa?