apprentice1997
Senior Member
- Jun 8, 2016
- 107
- 99
Habari wadau, nimevutiwa sana na hybrid apps development hasa kwa kutumia HTML 5, CSS na JavaScript. Nikiwa na background ya hizo language tatu ninatamani kukamilisha appkwa ujuzi huu nilionao bila kuhangaika na language mpya. Naomba kufahamisha faida name hsara za kutumia HTML kwenye kutengeneza apps, na vipi kuhusu functionality na nguvu ya hizi app za HTML tukilinganisha na apps za java. Na je nitaweza kuweka language nyingine kama php ili niweze kuaccess database yangu. Nahitaji msaada pia wa softwares name framework nzuri ili itakayonisaidia kukamilisha apps zangu hizi bila wasiwasi. Asante