medsebapol
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 327
- 225
Mimi sio mtaalamu kabisa juu ya mambo ya upimaji au utabiri ila nimeshangaa sana kuona wanatekinorojia wa kitanzania kutokuwa na VIFAA vya kutumia kujua au kutatulia matatizo.
Hii imetokea mkoan kagera baada ya tetemeko la aridhi kutokea basi wametumia gogo kupointi sehemu tetemeko lilipoanzia na inakisiwa tu wala awana huakika.
HII KWELI HAIKUBARIKI KISAYANSI JAPO MIMI SIJUHI SAYANSI.
KAMA MNAVYOONA ILO GOGO KWENYE PICHA HINAKISIWA KUWA NDO TETEMEKO LILIPOANZIA