naombeni mnisaidie jamani ipi ni nzuri inaweza tengeneza database vizuriii
nataka kutengeneza taarifa za watu basi kama kumbukumbuJaribu kua specific, unahitaji kutengeneza database ya aina gani? au rahisi zaidi kwa matumizi gani?
Zipo database designs tofauti ni ngumu kukwambia tumia program fulani bila kujua umekusudia kufanya nini.