KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,160
- 5,738
Heshima kwenu wakuu.
Naombeni kuelekezwa njia za ku-download kutokea hiyo site tajwa hapo juu 300mbfilms kwa kutumia IDM. Nimejaribu mara mbili tatu lakini naishia page inayosema get link.
Yani nikishafungua site yao nika-click movie husika inafunguka page nyingine inayofata inayotoa details za movie husika then chini kuna sehem wameweka ya kupata link. niki-click hiyo sehem nashindwa kuelewa hainipeleki popote wala haianzi ku-download wakuu.
Nakosea wapi wadau au kuna maelezo yanatakiwa kufatwa. Msaada wadau.
Natanguliza shukran wakuu.