MSAADA jinsi ya kupata channel TV za kwenye nilesat

MSAADA jinsi ya kupata channel TV za kwenye nilesat

mtafute fundi akufungie ila hutapata channel zote pale nile sat maana nyingi zinapatikana kwa dish futi 6. na hiyo intelsat haipatikani kwa dishi futi 3.
 
Nyie hayo mambo ya intelsat, nilesat sijui insat ni mjina tu, sawa na search engines kwenye net. Ukitaka channel cheza na setting za hizo setelaiti tu wala si majina
 
Niliona youtube jamaa wanalocate sat kwa kutumia smartphone yenye GPS, naona ni njia nzuri na rahisi, worth a try.

 
Back
Top Bottom