Graph
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 2,735
- 6,170
Kwa developers, ningependa kama kuna mtu anafahamu any messaging api specifically kwa mitandao ya Tanzania, nahitaji kuweka feature ya authentication kwa kumtumia user sms yenye pin number.
I cant go with services za nje kama Twilio kwa sababu ni very expensive kwa mitandao ya Tanzania, $0.04/sms is a lot.
Nauliza kama kuna a better solution even a paid one but cheaper au kama hakuna then i'll fall back to making a script itakayoziforward messages kupitia gsm modems tu.