Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuuu kwa mwenye kufaham android tv box..ni kitu gani na inafanyeje kazi tafadhali naomba anifahamishe...na je zinapatikana wapi kwa hapa Dar..na zinauzwaje? ? Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ambae anajua kuflash iphone 5 anisaidie hata akiwa anajua sehem ambapo ntapata msaada anielekeze asante
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Wadau naomba mnisaidie application ya kuflash android na jinsi ya kuipata
0 Reactions
2 Replies
891 Views
Habari ya weekend,game gani zuri la euro truck ambalo ni zuri na nitaenjoy kulicheza kwenye smartphone yangu
1 Reactions
0 Replies
722 Views
Natumia galaxy note 3 ambayo inarun custom ROM android 5.0, kuna muda haikuwa stable hvyo nilihtaji kuidowngrade to kitkat au kubadili ROM either custom au nirudi stock..nilidown load firmware...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Taarifa zinasema zaidi ya watu milioni bado wanaendelea kutumia simu za Galaxy note 7 licha ya kampuni ya Samsung kutaka zirejeshwe kiwandani na kubadilishiwa kwa simu zingine. Takwimu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari naombeni msaada .ni hivi kuna zile nyaya za kuunga Nisha TV na deki.sasa kuna vile viwaya (kichwa) vinavyochomekwa vinavyoingia kwenye TV kimekatikia ndani ya TV na ni baada ya zile waya...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Kampuni ya Apple imesema kuwa imekuwa ikinunua chaja na nyaya zilizo na sifa ya uhalisia kutoka katika mtandao wa Amazon wamegundua kuwa karibia asilimia 90 ni bandia. ======== Apple says it has...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je. Tumejiadaa kulikabili shambulio hili? ============= Some of the world's biggest websites including Twitter, SoundCloud, Spotify and Shopify are experiencing technical problems due to a...
2 Reactions
5 Replies
899 Views
Naomba link ya kudownload game za simulation
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jaman,nawezaje kujifunza hii frameworks inaitwa codeigniter??? nimeangalia videos zake zote bado cjaelewa. embu mwenye njia rahis kwa jins gan naweza anza anisaidie jaman natanguliza shukran zangu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naomba msaada wa namna ya kuweka adsense ads katika blog yenye content ya kiswahili Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani ninaomba msaada namna ya ku bootload simu yangu ya huawei G535-L11. Niki iwasha inaishia njiani na inaleta message Bootload Failed to Verify. Bootload Status LOCKED. Naombeni msaada nifanyaje
1 Reactions
4 Replies
708 Views
Habarini wakuu.. Kwa wale wataalam naomba mnijuze, je kuna namna ya kutrace # ya mtu ya simu hapa kwetu na kupata exact location?! Kuna mtu kanitapeli hela na sijui wapi pa kumpata.
2 Reactions
2 Replies
948 Views
Eti wadau inawezekanaje kujua TIN number ya kampuni fulani just kwa kujua jina LA kampuni?
0 Reactions
0 Replies
541 Views
wakuu nina relay switc nahangaika namna ya kuziconnect ost s 112dm 12 vdc na4078 dc9v shg hii ya volt tisa niki energize coil naisikia ikimake ila nashindwa kuzijua ipi nc and no
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari,msaada kwa anayejua jina la sehemu wanayokopesha laptop kwa wanafunzi wa chuo pale posta,tangzo lake linaruka sana pale clouds fm.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wana Jf laptop yangu haifunguki kila nikijaribu kuwasha ikifikia kipengere cha WELCOME inaniandikia maneno yafuatatayo. The application or DLL C/WINDOWS/system32/LSASRV,dll is not...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau nimedownload movies nyingi kwa kutumia simu, sasa ninahitaji zicheze na subtitles na embe ni MWenye kujua atiririke kwa faida ya wengi. Na tu mia MX Player na kifaa nachoshushia ni simu...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Tujaribu kukimbizana na Dunia nahitaji kuwa hacker naomba uzi huu utumike kunifundisha ili niwe hacker,kwa kuanza nataka nianze kwa kuwa simple hacker nahack vitu vidogo vidogo kama account ya mtu...
1 Reactions
52 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…