Abdul mndili
Senior Member
- Oct 15, 2016
- 192
- 137
Habari wakuuu kwa mwenye kufaham android tv box..ni kitu gani na inafanyeje kazi tafadhali naomba anifahamishe...na je zinapatikana wapi kwa hapa Dar..na zinauzwaje? ?
Asanteni.
Asanteni.