Msaada: Chuma kimekatikia kwenye TV

Msaada: Chuma kimekatikia kwenye TV

mrs fiance

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2016
Posts
350
Reaction score
163
Habari naombeni msaada .ni hivi kuna zile nyaya za kuunga Nisha TV na deki.sasa kuna vile viwaya (kichwa) vinavyochomekwa vinavyoingia kwenye TV kimekatikia ndani ya TV na ni baada ya zile waya kuwekwa vibaya. kinaweza kutolewa kweli? Au ndo siangalii CD videos.
 
Punguza pressure bro kazi ndogo sana siuchomoe tu
 
Unachomoaje wakati kimekatikia kwa ndani kabisa???
 
Chukua pini au sindano toboa Ile plastic ya ndani vuta
 
Wacha uoga,FUNDI atakulia hela tu kwa kazi ndogo, chukua sindano ndogo iweke Moroni upate moto then ingiza hapo ilipokatikia(coz kile kichuma kati kina plastic) then vuta kinatoka,kazi ya dk 1 tu
Iweke motoni .....
 
Kile kichuma ndo kimebaki ndani kile kiplastic kimetoka
 
wanawake wengi hata kubadili balbu ni shida,kwahiyo siwezi kukushangaa,hapo mtaani kama kuna kijana mtundu mtundu anakutolea tu sio ishu,
kama utakuwa na superglue tafuta kichuma kingine kiweke hiyo gundi,kisha kashikanishe na kile kilichong'ang'ania ndani vikigandamana vuta.

Au tafuta mtu aifungue tv,atakitoa kiulani sana
 
Habari naombeni msaada .ni hivi kuna zile nyaya za kuunga Nisha TV na deki.sasa kuna vile viwaya (kichwa) vinavyochomekwa vinavyoingia kwenye TV kimekatikia ndani ya TV na ni baada ya zile waya kuwekwa vibaya. kinaweza kutolewa kweli? Au ndo siangalii CD videos.
Usiogope Mr Fiance hawezi kukubadilikia!
 
Habari naombeni msaada .ni hivi kuna zile nyaya za kuunga Nisha TV na deki.sasa kuna vile viwaya (kichwa) vinavyochomekwa vinavyoingia kwenye TV kimekatikia ndani ya TV na ni baada ya zile waya kuwekwa vibaya. kinaweza kutolewa kweli? Au ndo siangalii CD videos.
KINAWEZA TOLEWA ASILIMA 10000% LAZIMA TV IFUNGULIWE UNAKISUKUMA TU NA BISIBISI (SCREW DRIVER)
 
Back
Top Bottom