Gatete
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 380
- 407
Natumia galaxy note 3 ambayo inarun custom ROM android 5.0, kuna muda haikuwa stable hvyo nilihtaji kuidowngrade to kitkat au kubadili ROM either custom au nirudi stock..nilidown load firmware nyingine ya SM-9005, odin pamoja na drivers zote husika ili niflash ROM iliyo kuwepo.
Bahati mbaya katika process hyo simu ilifail na baada ya hapo ikawa inaleta ujumbe huu nikiiwasha 'could not do normal boot odin mode'
nimedownload firmware nyingine stock nimeiconnect tena kwa pc via odin lakini kila inapoanza process inafail na kuwaka haiwez tena.
naombeni msaada niweze kuinstall ROM upya