[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Samsung note 2 inakataa kupiga au kupokea cm inaandika not registered to network... Tatizo hili limekuna baada ya mimi ku upgrade os from note to not samsung...
Wakuu za jioni. Naombeni msaada kama kuna key body ambayo unaweza kuandika maneno kwa kiswahili nayo ikakutafsiria kwa kingereza. Maana english. Ni tatizo kwangu kama nataka kuwasiliana na mtu...
Ninapoiwasha inaandika no bootable devices--strike F1 to retry boot,F2 for setup utility
Press F5 to run onboard diagnostic. hapo tatizo linaweza likawa nini maana nimejaribu hayo yote mwisho wa...
Habari,
Kuna server yenye OS ya 2008 ambayo haipo online nataka kuiwasha na kuaccess files zake. bahati mbaya password imesahaulika. inaniambia nitumie backup tool bahati mbaya sina hiyo...
Salama wakuu mimi ni Fundi wa vifaa vya umeme na Umeme wenyewe niko interested zaidi na Electronics natamani kujifunza Programming language nahitaji muongozo Pakuanzia wakuu kuna watu...
Husika kichwa hapo juu nahitaji kuhost website lakin nimezunguka mitandao mingi naona wanalipia kwa mwaka lakin mm bajeti yangu haitoshi msaada kwa hilo please ni sehemu gani naweza kuhost website...
Rejea kichwa cha somo hapo juu, natafuta fundi wa smart TV [emoji342] ina shake na kubadilika badilika rangi.
Ni pm tafadhali.. Au kama kuna ayemjua msaada kwenye tuta
Wadau nimerudi tena, kwanza naombeni mnivumilie, napenda sana masuala ya blog.
Kwenye blog, nina page mbalimbali kama MAPENZI, MAKALA, MICHEZO NA BURUDANI n.k
Swali langu ni, namna gani naweza...
Habari wataalamu!
Nimedownload game lakn limegoma kufunguka ila kuna ujumbe unasema ni install XINPUT1_3.dill ili iweze kufix problem,nimejaribu kiitafuta kwenye mitandao nimeipata ila ni ya...
habari ,
siku za hivi karibuni,nimekutana na matangazo mengi kuhusu simu tajwa hapo juu,nimeona baadhi ya watu wakisifia kama zipo poa esp phantom 6 ambayo inaonekana kama ishaingia katika soko...
Naweza kutumia application gani ili niweze kupanga picha ndogo (pasport) katika karatasi moja ya a4 zikae picha ishirini za watu tofauti zikiwana majina chini?
Hakujawa na utafiti wa kutosha na wa muda mrefu kufanya hitimisho wazi kama mionzi kutoka simu za mkononi ni salama, lakini kulikuwa na data za kutosha kuwashawishi WHO juu ya uhusiano uwezekanao...