skull
Senior Member
- Aug 18, 2016
- 157
- 104
Salama wakuu mimi ni Fundi wa vifaa vya umeme na Umeme wenyewe niko interested zaidi na Electronics natamani kujifunza Programming language nahitaji muongozo Pakuanzia wakuu kuna watu wamenishauri nijifunze C and C++ kutoka na field niliyopo sasa experts,Hobbyist nahitaji ushauri wako na link wapi pakuanzia