Jinsi ya kubypass password in a Server Computer Window 2008 OS

Jinsi ya kubypass password in a Server Computer Window 2008 OS

EHK

Member
Joined
May 19, 2011
Posts
81
Reaction score
111
Habari,

Kuna server yenye OS ya 2008 ambayo haipo online nataka kuiwasha na kuaccess files zake. bahati mbaya password imesahaulika. inaniambia nitumie backup tool bahati mbaya sina hiyo software, kama kuna mtu ana namna nyingine nyepesi tafadhari aokoe jahazi.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom