TECNO PHANTOM 6 & 6 PLUS ni JANGA au BARAKA?

TECNO PHANTOM 6 & 6 PLUS ni JANGA au BARAKA?

Mbnative

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
332
Reaction score
77
habari ,
siku za hivi karibuni,nimekutana na matangazo mengi kuhusu simu tajwa hapo juu,nimeona baadhi ya watu wakisifia kama zipo poa esp phantom 6 ambayo inaonekana kama ishaingia katika soko la Tanzania.
Naomba wenye uzoefu na simu za tecno au wanaotumia simu tajwa hapo juu ,wanipe maoni yao kuhusu simu husika..
 
Kwani sasaivi unatumia simu gani?
 
Natumia simu ya Black view.. htc nilitumia kitambo sana mzee ..
 
Back
Top Bottom