Emelamu Junia
Member
- Aug 21, 2013
- 32
- 9
Dah hii inakumbusha zaman wkt natumia Desktop ambayo inapoteza majira kila ukizima bac tatizo hilo nilikuwa nalipata, dawa yake nikuset muda/tarehe ikae sawa tu.ukipata tatizo la https cha kwanza kabisa angalia tarehe yako ipo sawa?