Msaada: PC game haifunguki

Faru dume

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
471
116
Habari wataalamu!
Nimedownload game lakn limegoma kufunguka ila kuna ujumbe unasema ni install XINPUT1_3.dill ili iweze kufix problem,nimejaribu kiitafuta kwenye mitandao nimeipata ila ni ya kununua,vp wadau kuna namna yoyote naweza ipata kwa free?
Najua jf ina wajanja wengi
Asanteni wadau
 
Game gani mkuu
 
Hellow faru how are you ?
Playing this game requires the below system specifications. If your hardware meets the below requirements, please install the game.

MINIMUM SYSTEM REQUIREMENTS

Recommended system specifications are shown in red.

OS: Windows 10 / 8.1 / 8 / 7 SP1 / Vista SP2
CPU: Intel Core 2 Duo @ 1.8 GHz (AMD Athlon Ⅱ X2 240 or equivalent processor)
Intel Core i3 530 (AMD Phenom Ⅱ X4 925 or equivalent processor)
RAM: 1 GB (2 GB)
nVidia GeForce 8800 / ATI Radeon X1600 / Intel HD Graphics 3000 or better
nVidia GeForce GTX 260 / ATI Radeon HD 4850 / Intel HD Graphics 4000 or better
Video RAM: 512 MB (1024 MB)
DirectX: Version 9.0c
HDD: 9 GB available space
Sound Card: DirectX 9.0c Compatible sound card
Resolution: 800 x 600 monitor resolution (1280 x 720 monitor resolution)
ODD: 4x DVD-ROM Drive (8x DVD-ROM Drive)
Network: TCP/IP 512 kbps or higher (TCP/IP 1.5 Mbps or higher)

Kama unavyo ivyo viwango kwenye pc yako nichek nikupe me ninayo iyo pes 2016
 
Kama unavyo ivyo viwango kwenye pc yako nichek nikupe me ninayo iyo pes 2016[/QUOT
Pc yangu vyote inavyo sa sijajua window 7 professional haisapot?
 
cheki kwenye folder la hilo game hakuna folder liliondikwa redistributable au direct x? kama lipo install hio software utaweza run hilo game.

kwa lugha nyengine huna direct x kwenye pc yako unatakiwa ui install. link yake official ni hii incase umeikosa kwenye folder la game (setup)

Download DirectX End-User Runtime Web Installer from Official Microsoft Download Center
mkuu nimejaribu ila nikiinstall inaniletea ujumbe huu an internal system error occured please refer to DXEerror.log and DirectX.log in your window folder to determine problem.
 
hio ni web installer wakati unaieka ulikuwa na internet? pia jaribu kuirun kama administrator
 
Wadau wote heshima kwenu game imekubali napga kama kawaaa...daaah jf noumaaaaa
 
mimi kidogo niifute ...washikaji wamenipa maelekezo mpk imefunguka napga game kama kawa
yaani nimeidowload sasa katika ile hatua ya kumaliza installation wanaitaji licence key hapo ndio shida inapoanza nimeangaika hadi kichwa kinauma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom