Nitumie application gani kutengeneza picha za Pasport size

jov

Senior Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
121
Reaction score
9
Naweza kutumia application gani ili niweze kupanga picha ndogo (pasport) katika karatasi moja ya a4 zikae picha ishirini za watu tofauti zikiwana majina chini?
 
photoshop, microsoft office na almost image editor zote. cha muhimu ni mahesabu tu kaka kama ulikimbia hesabu hapo kazi ndio itaanza.

a4-paper-size.jpg

kama ni photoshop tengeneza new image usitumie pixel tumia metric eka upana cm21 na urefu cm 29.7 then hio image itakuwa sawa na a4 then panga picha zako tokana na unavyotaka. photoshop ni nzuri in terms ya kuresize picha na kuzipangilia vizuri bila kuacha space.

microsoft word pia inafanya ila mpangilio unaweza usiwe mzuri. advantage ya word ni kwamba tayari ipo mfumo wa a4 hivyo hutahangaika na vipimo
 
Ahsante kaka ngoja nijaribu nitatoa feedback
 
Sikuyapili bado feedback atukwamboitena
 
Nimefanikiwa ahsante sana kaka @ chief
nimechelewa kutoa feedback kuna kazi nilikua nafanya Pdidy
 
Last edited by a moderator:
photoshop, microsoft office na almost image editor zote. cha muhimu ni mahesabu tu kaka kama ulikimbia hesabu hapo kazi ndio itaanza.

a4-paper-size.jpg

kama ni photoshop tengeneza new image usitumie pixel tumia metric eka upana cm21 na urefu cm 29.7 then hio image itakuwa sawa na a4 then panga picha zako tokana na unavyotaka. photoshop ni nzuri in terms ya kuresize picha na kuzipangilia vizuri bila kuacha space.

microsoft word pia inafanya ila mpangilio unaweza usiwe mzuri. advantage ya word ni kwamba tayari ipo mfumo wa a4 hivyo hutahangaika na vipimo

Hata photoshop unaweza kuselect page A4 na zingine Bila ya kuwek size
 
photoshop, microsoft office na almost image editor zote. cha muhimu ni mahesabu tu kaka kama ulikimbia hesabu hapo kazi ndio itaanza.

a4-paper-size.jpg

kama ni photoshop tengeneza new image usitumie pixel tumia metric eka upana cm21 na urefu cm 29.7 then hio image itakuwa sawa na a4 then panga picha zako tokana na unavyotaka. photoshop ni nzuri in terms ya kuresize picha na kuzipangilia vizuri bila kuacha space.

microsoft word pia inafanya ila mpangilio unaweza usiwe mzuri. advantage ya word ni kwamba tayari ipo mfumo wa a4 hivyo hutahangaika na vipimo
Mkuu unawrza nisaidie jinsi ya ku resize mfano picha 1000 ziwe katika 4kb naomba msaada mkuu
 
Back
Top Bottom