Baba Ndumbwi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 452
- 719
Jaman msaada simu yangu aina ya samsung j1ace inakataa kudownload kitu chenye ukubwa wa 2mb hali device freespace ni 498mb. Sms ninayoletewa ni hii
Si apps yangu tatizo linalonitatiza ni sim kushindwa kudownload new apps na updatesAsante kwa kutangaza hiyo App yako. Nimeshai-download ila inazingua balaa. Uninstalling now...