WAPENZI WA ONLINE SCRABBLE

WAPENZI WA ONLINE SCRABBLE

Geechie

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
977
Reaction score
763
Habari wanajamvi natafuta wapenzi Wa kucheza scrabble online,ni moja ya michezo mizuri ya kuchangamsha akili.Nimechoka kucheza na wazungu ningependelea kupata washindani wenzangu waafrika.Najua ilitucheze online inatakiwa mtu uwe na account ya Facebook na kwakuwa wengi tuna majina ya magumashi,napendekeza kwa watakaokuwa wanapenda una nipm tunatengeneza ghost account Facebook na maisha ya kutokujulikana yanaendelea huku tunafurahia game safi.Ni bonge la addiction,game hii ipo katika play store
1477166869049.png
 
Back
Top Bottom