Google App has stopped

Google App has stopped

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
905
Reaction score
623
Wakuu habari zenu simu yangu ina tatizo kila ninapo Instal app ninapata "Google App has stopped" though installation inakamilika na hili tatizo la muda na kwa sasa nafikiri ndio linapelekea simu kujizima yenyewe.Nime google solution ni kuinstall CUstom ROM upya, Je kuna solution nyingine zaidi ya hii?
 
vipi storage yako.. iko poa? basically RAM then cheki na internal storage yako
 
Wakuu habari zenu simu yangu ina tatizo kila ninapo Instal app ninapata "Google App has stopped" though installation inakamilika na hili tatizo la muda na kwa sasa nafikiri ndio linapelekea simu kujizima yenyewe.Nime google solution ni kuinstall CUstom ROM upya, Je kuna solution nyingine zaidi ya hii?
Unatumia simu za mediatek au Qualcom(mfano mediatek ni tekno zote pamoja na low end nyingi za huawei na lenovo ....na qualcom nyingi ni zile kama htc, lg, lumia, xiaomi, sony,samsung) kwa ninavyojua mimi kwenye mediatek ukikumbwa na hii shida huna ujanja zaidi ya kuinstall custom Rom nishawahi shuhudia case mbili za hii na zote zilipona..... Kwa snapdragon factory reset inaweza saidia.....ila wajuzi wa mambo watakuja kujazia.
 
ahsante ni mediatek
 
Back
Top Bottom