External Tv Card

External Tv Card

TarimoJr

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
224
Reaction score
130
Habari Zenu Wakuu?
Wapi Ninaweza Pata External Tv Card Nzuri Kwa Tz Hii, Na Bei Zake Zikoje?
 
nenda machinga complex, au mtaa wa uhuru na msimbazi hadi uhuru na swahili, bei haizidi 30,000 kama una desktop (pcie) na hadi 50,000 kwa za usb
 
Shukrani Mkuu
Je, Hizo Za Desktop Zinatofautiana Ubora? Nahitaji Itakayoweza Kuonyesha Full Screen Na Iwe Na Spidi Nzuri.
 
speed ya nini mkuu? na full screen si unaeka mwenyewe tu kuna ambazo sio full screen?

ubora ni kiingizio chako kama una decoder ambayo sio HD usitegemee kupata quality nzuri.

ubora mwengine ni build quality tu, ila nahisi vyote ni vya kichina, vitu bora huwezi vipata kwa bei rahisi hivyo
 
Thanx Mkuu
 
Back
Top Bottom