Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naombeni anayejua njia za kublock Ads kwenye instaled Apps anisaidie. Maana nimedownload Ads Blocker ila nayo haisaidii
0 Reactions
1 Replies
615 Views
Wakuu mambo niaje, Nahitaji ku install app ambayo nikiplay wimbo popote na kuifungua hiyo app iwe na uwezo wa ku-play lyrics yake automatically. Msaada wenu wakuu.
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Mambo Kuna mtu yupo uarabuni(saudia), nimemuomba anichukulia iphone 5s, lakini ninachanganya kati ya iphne 5s na iphone 5se(sijui ipi ni bora zaidi) naombeni msaada kwa mnaozijua vizuri, naomba...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nina Pc yangu ndogo Lenovo think pad! Core i5 sasa nilikuwa naitumia ghafla ikawa inaandika FAN ERROR nikiiwasha so nikawa siwezi kuitumia baadae ikawa inakubari tena inazingua nikapeleka kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nataka simu mpya kabisa ....niifungue mwenyewe ...ila isiwe tecn.......nataka kampuni ya samsung
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari zenu wadau,natamani sana kujua mobile app zinatengenezwaje nikisha install android studio hatua zipi zinafuata ili nitengeneze ya app yngu.Idea nnayo tayari
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za muda huu wadau,nimepatwa na tatizo ambalo nimeshindwa nilitatue vipi. Nina external HardDisk aina ya TRANSCEND storejet GB 500,ghafla imepotea haionekani kwenye pc bali taa yake inawaka...
0 Reactions
2 Replies
949 Views
Simu yangu nikiwasha haisomi network inaishia kutoa maandishi haya "UNFORTUNATELY PROCESS COM.ANDROID HAS STOPPED."
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii card inakazi gani
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Wakuu waya wa charge ya PC yangu inapitisha moto lakini haichajishi PC inaniandikia maelezo kuwa AC ADAPTER HAS WAT WAT ATA SIELEWI MWENYE UUJUZI ANISAIDIE TAFADHALI.
0 Reactions
3 Replies
825 Views
Habarini wana JF Naomba mnisaidie ni kitu gani kimekuvutia mpaka umeamua kutumia aina na simu unayotumia ( Iphone,Samsung,LG, HTC.....) Mimi napenda iphone kwasababu ya security na pia inakaa na...
0 Reactions
78 Replies
7K Views
Simu ya Iphone 7 imedaiwa kusababisha kuwaka kwa moto katika gari moja huko nchini Australia. Mmiliki wa simu hiyo Matt Jones anasema aliiacha simu yake katika gari na kuelekea darasani na ndipo...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Ndugu wana jamii forum, naomba msaada wa mawasiliano ya zuku nataka kununia bundle nimesahau namba ya ununulia
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Kampuni ya Google Jana ilizindua messaging app mpya inayoitwa allo itakayokuwa ikitumia namba za simu kama mtandao wa watsapp, allo imetofautiana kidogo na whatsapp kwani inakupa vitu vingi katika...
6 Reactions
116 Replies
13K Views
Habari waungwana, Naomba kuuliza kuhusu mtu mwenye ujuzi la laptop. Nina laptop aina ya Sony Vaio ila haikubali game kila nikiweka program au cd ina sema sijui graphic haipo supported na vitu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
samsung S4 nikiweka laini inasoma kuwa imo na hata sehemu inayoonesha mnara ipo poa ila inaniandikia No service tangu jana mchana, nimejaribu kuweka laini za mtandao mwingine ila tatizo bado lipo.
0 Reactions
1 Replies
770 Views
Wakuu Habari za huku? ni wazi kuwa upatikanaji wa microcontroller Ni changamoto hasa kwa wanafunzi na hobysist wanaotaka kuautomate vitu/shughuli mbalimbali! Lakini sasa ondoa shaka kwani Sasa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
naomba msaada ni application gani nayoweza download play store ambayo naweza tambua mwendokasi wa gari pale usalipo kama abiria
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wandugu habar zenu..... pc yangu elitebook nikiiwasha inaandika "Non system disk or disk error replace and strike any key when ready" tatizo nini apo wakuu mana mi siko deep na haya mambo.
0 Reactions
4 Replies
651 Views
Samahanini ndg zng nimekuwa nikipata wakat mgumu wa kudownload miziki hasa ile ya nyuma maana baadhi ya app ninazozijua hazina sehemu ya ku-search!hivyo bac naomba mnijuze app zenye sehemu ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…